Mwamposa tena? Upumbavu mtupu! Anawaokota wajinga wenzie!Chukua Mke na Watoto peleka Kawe kwa Mwamposa kwenye Maombi...! Usichelewe, hakuna gharama ni Bure....!
Hata kama hujui kusoma picha huoni...!?
Unamwomba Mungu akuguse kwa mambo gani mkuu? Uko Bukoba, nenda kwa Father Kamugisha hapo Minziro mpige maombi ya nguvu!Habari wanaJF .
Kiufupi Mimi Baba wa watoto watatu ambao wote ni wa kike.
Naishi nao pamoja na Mama yao .
Tumefanikiwa kuishi miaka 12 mpaka sasa katika ndoa yetu.
Changamoto kubwa ambayo ninaipitia ni hii hapa.
Mimi kazi yangu kubwa ambayo huwa nafanya ni kuuza mazao , kuku wa kienyeji huwa naenda kijijini naangalia bei ndogo ya bidhaa Kama mahindi au kuku nanunua na kuja kuuza mjini.
Kiufupi Mimi ni mjasiriamali wa kiwango cha chini ambaye bado napambana.
Jambo Ambalo limenifanya nije ni changamoto iliyompata mke wangu na watoto.
Familia yangu ilikuwa vizuri Ila ilianza kuingia changamoto ambazo zimeniumiza Sana Akili na kunipa mawazo.
Mwezi wa kumi Mke wangu alianza kuumwa kawaida kabisa nikampeleka hosptali kumpima ikaonekana hana tatizo .
Ila nikikaa nae usiku halali anaongea mambo Kama ya kuchizika Anapasua vitu ndani .
Sasa nikaona hii hali itakuwa mbaya nimempeleka hosptali zote za mkoa Government na private Ila tatizo lipo pale pale .
Napoandika hapa mke wangu amefungiwa ndani , sasa hii hali Kama ya Mke wangu imeanza kumungia mtoto wangu wa kwanza Ana umri wa miaka 10 anaongea peke yake anaharibu vitu ndani .
Akikaa kidogo na wadogo zake wanapigwa kipigo kikali Sana hivyo mtoto na mama yao ambaye ni mke wangu ni Kama wanaumwa ugonjwa unaofanana.
Nimefatilia Sana katika familia zetu kujua Kama kuna mtu amewahi kupitia hali Kama hii sijafanikiwa kupata majibu.
Baada ya yote haya nimeamua nisafiri nimpeleke hosptali inaitwa milembe ipo Dodoma nimpeleke Mama na mtoto wawafanyie uchunguzi.
Wakuu naumia Sana Kazi haziendi mtaji umekata .
Ikiwa kuna wadau wanaweza nisaidia 400K nikapata nauli na kumsafirisha huyu Mama na binti yetu nitashukuru , Endapo nikifika Dodoma gharama zikahitajika zaidi nafikiria pia kuuza kiwanja ambacho nilikinunua Kwa ajili ya ujenzi.
Mrejesho
Wakuu nashukuru Kwa ushauri wenu mpaka sasa niseme nitaufanyia Kazi kadri nitakavyojaliwa.
Pia nimeona nianze na hii hatua ya maandalizi ya kumpeleka mgonjwa Dodoma yeye na Binti yetu pale Milembe , nitafanya huduma za hosptalini Ila pia sitoacha kumuombea kila siku.
Ikiwa unataka kuwasiliana na Mimi au Kwa chochote Ni-PM.
Pia nina kiwanja Heka moja ni kiwanja kipo katika muundo wa shamba ninakiuza ili pia kinisaidie katika hiki kipindi .
Gharama ya kiwanja ni maelewano kipo Katoro Bukoba Vijijini (Kagera)
Mungu awabariki nyote.🙏🏽
Familia yangu ilikuwa vizuri Ila ilianza kuingia changamoto ambazo zimeniumiza Sana Akili na kunipa mawazo.
Mkuu ilivyo ni kwamba wapo watu waliyoenda kwa Mwamposa wakapata suluhu ya matatizo yao na wapo ambao walikuwa kila wiki wako huko ila hadi sasa hakuna walichopata, pia kwa waganga ni hivyo hivyo wapo waliyosaidika matatizo yao kwa waganga na wapo ambao wameangaika kwa waganga bila mafanikio.Kuna mmoja Ka comment aende Kwa Mganga wa Kienyeji, sijaona ukisema chochote....!
Mimi ni Mtu ambaye Maombi yameniponya changamoto kubwa, na kama ningewasikiliza Watu kama wewe, mpaka Leo ningekua na changamoto Hiyo.
Hapana mkuuPole sana
Elekea kwenye MAOMBI.
NA PIA
Je, umechepuka popote pale au niulize na umemchezea mwanamke ukamuumiza
Au pia kudhulumu mtu kwenye BIASHARA?
Nauliza tu kutokana na kujifunza kusoma ya humu JF ya wadau.
kombora kwa nn litumwe kwa aliyenunua na siyo mwizi, mnunuzi anajuaje kwamba kuku kaibwa?Yah maybe kuku wa uwizi alinunua mwenye kuku katuma kombora.
sio jambo la kuchekesha ila hii coment yako imenivunja mbavuPole sana mkuu.
Pia hakikisha hununui kuku wa wizi huko vijijini.
Mshana Jr unaweza kumsaidia kitu mzee mwenzetu.
Hayo ni matatzo ya akili.Habari wanaJF .
Kiufupi Mimi Baba wa watoto watatu ambao wote ni wa kike.
Naishi nao pamoja na Mama yao .
Tumefanikiwa kuishi miaka 12 mpaka sasa katika ndoa yetu.
Changamoto kubwa ambayo ninaipitia ni hii hapa.
Mimi kazi yangu kubwa ambayo huwa nafanya ni kuuza mazao , kuku wa kienyeji huwa naenda kijijini naangalia bei ndogo ya bidhaa Kama mahindi au kuku nanunua na kuja kuuza mjini.
Kiufupi Mimi ni mjasiriamali wa kiwango cha chini ambaye bado napambana.
Jambo Ambalo limenifanya nije ni changamoto iliyompata mke wangu na watoto.
Familia yangu ilikuwa vizuri Ila ilianza kuingia changamoto ambazo zimeniumiza Sana Akili na kunipa mawazo.
Mwezi wa kumi Mke wangu alianza kuumwa kawaida kabisa nikampeleka hosptali kumpima ikaonekana hana tatizo .
Ila nikikaa nae usiku halali anaongea mambo Kama ya kuchizika Anapasua vitu ndani .
Sasa nikaona hii hali itakuwa mbaya nimempeleka hosptali zote za mkoa Government na private Ila tatizo lipo pale pale .
Napoandika hapa mke wangu amefungiwa ndani , sasa hii hali Kama ya Mke wangu imeanza kumungia mtoto wangu wa kwanza Ana umri wa miaka 10 anaongea peke yake anaharibu vitu ndani .
Akikaa kidogo na wadogo zake wanapigwa kipigo kikali Sana hivyo mtoto na mama yao ambaye ni mke wangu ni Kama wanaumwa ugonjwa unaofanana.
Nimefatilia Sana katika familia zetu kujua Kama kuna mtu amewahi kupitia hali Kama hii sijafanikiwa kupata majibu.
Baada ya yote haya nimeamua nisafiri nimpeleke hosptali inaitwa milembe ipo Dodoma nimpeleke Mama na mtoto wawafanyie uchunguzi.
Wakuu naumia Sana Kazi haziendi mtaji umekata .
Ikiwa kuna wadau wanaweza nisaidia 400K nikapata nauli na kumsafirisha huyu Mama na binti yetu nitashukuru , Endapo nikifika Dodoma gharama zikahitajika zaidi nafikiria pia kuuza kiwanja ambacho nilikinunua Kwa ajili ya ujenzi.
Mrejesho
Wakuu nashukuru Kwa ushauri wenu mpaka sasa niseme nitaufanyia Kazi kadri nitakavyojaliwa.
Pia nimeona nianze na hii hatua ya maandalizi ya kumpeleka mgonjwa Dodoma yeye na Binti yetu pale Milembe , nitafanya huduma za hosptalini Ila pia sitoacha kumuombea kila siku.
Ikiwa unataka kuwasiliana na Mimi au Kwa chochote Ni-PM.
Pia nina kiwanja Heka moja ni kiwanja kipo katika muundo wa shamba ninakiuza ili pia kinisaidie katika hiki kipindi .
Gharama ya kiwanja ni maelewano kipo Katoro Bukoba Vijijini (Kagera)
Mungu awabariki nyote.🙏🏽
Ndio matatizo ya akili ila sababu yake ni nini? Na imekuaje kaanza mama mara kafuata na mtoto kama wameambukizana?Hayo ni matatzo ya akili.
Ukiacha mirembe kuna hospitali ya Lutindi pale Korogwe ni nzuri.
Gharama ni laki 3 unusu kwa mwezi kama ada.
Afya kwanza mengine baadae.
Pole sana mkuu.
Mkuu na wewe kuwa makini maana kama tatizo limeanza kwa mama na likafuata kwa mtoto bila kueleweka kwa nini isije likahamia na kwako.Hapana mkuu
Ni sawa....!Mkuu ilivyo ni kwamba wapo watu waliyoenda kwa Mwamposa wakapata suluhu ya matatizo yao na wapo ambao walikuwa kila wiki wako huko ila hadi sasa hakuna walichopata, pia kwa waganga ni hivyo hivyo wapo waliyosaidika matatizo yao kwa waganga na wapo ambao wameangaika kwa waganga bila mafanikio.
Kwaiyo kama wewe umesaidiwa na mambo ya Mwamposa basi kubali pia wapo ambao wametoka kapa.
Mkuu ilivyo ni kwamba wapo watu waliyoenda kwa Mwamposa wakapata suluhu ya matatizo yao na wapo ambao walikuwa kila wiki wako huko ila hadi sasa hakuna walichopata, pia kwa waganga ni hivyo hivyo wapo waliyosaidika matatizo yao kwa waganga na wapo ambao wameangaika kwa waganga bila mafanikio.
Kwaiyo kama wewe umesaidiwa na mambo ya Mwamposa basi kubali pia wapo ambao wametoka kapa.
Ukweli ndo huo hutaki unaacha, mpeleke Kwa Mganga wa Kienyeji...!Mwamposa tena? Upumbavu mtupu! Anawaokota wajinga wenzie!
Nenda Kanisani, kafanye Maombi hapo, Tena siku hizi Mwamposa anamwekea Mkono na kumuombea mtu mmoja mmoja Kanisani...!Anacharge mkuu tena hela ndefu.ndugu zang flan walicharge laki ,3
Chukua Mke na Watoto peleka Kawe kwa Mwamposa kwenye Maombi...! Usichelewe, hakuna gharama ni Bure....!
Hata kama hujui kusoma picha huoni...!?
Hata kipindi cha Yesu, wagonjwa walipelekwa kwa Yesu na kuombewa. Lakini Yesu alisema Imani yako imekuponya. Mgonjwa alienda kwa Yesu akiamini akiombewa na Yesu anapona.Sasa kama ni kumuamini Mungu kwa nini hadi uende kwa Mwamposa wakati Mungu yupo tu popote mkuu? Mimi nachokiona hiyo imani yao watu yenye kuwapona wameigemezea kwa Mwamposa.
Hakuna unachojua.Acha ujinga wewe wa kutetea matapeli hapa kama mtu alienda bila Imani si mwamposa amfanye huyo mtu awe na Imani acheni wizi
Ikawaje Ikawa hivyo na huyo Mungu yupo tu ?Mungu ni chanzo cha uhai, afya, baraka, nguvu
Na hakuna linaloshindikana kwa Yesu Kristo Mungu mkuu
Mungu yupiMwamini Mungu