Familia yangu Mke na Mtoto wangu Mkubwa wamepata tatizo la Akili naomba ushauri wakuu

Habari wanaJF .

Kiufupi Mimi Baba wa watoto watatu ambao wote ni wa kike.

Naishi nao pamoja na Mama yao .

Tumefanikiwa kuishi miaka 12 mpaka sasa katika ndoa yetu.

Changamoto kubwa ambayo ninaipitia ni hii hapa.

Mimi kazi yangu kubwa ambayo huwa nafanya ni kuuza mazao , kuku wa kienyeji huwa naenda kijijini naangalia bei ndogo ya bidhaa Kama mahindi au kuku nanunua na kuja kuuza mjini.

Kiufupi Mimi ni mjasiriamali wa kiwango cha chini ambaye bado napambana.

Jambo Ambalo limenifanya nije ni changamoto iliyompata mke wangu na watoto.

Familia yangu ilikuwa vizuri Ila ilianza kuingia changamoto ambazo zimeniumiza Sana Akili na kunipa mawazo.

Mwezi wa kumi Mke wangu alianza kuumwa kawaida kabisa nikampeleka hosptali kumpima ikaonekana hana tatizo .

Ila nikikaa nae usiku halali anaongea mambo Kama ya kuchizika Anapasua vitu ndani .

Sasa nikaona hii hali itakuwa mbaya nimempeleka hosptali zote za mkoa Government na private Ila tatizo lipo pale pale .

Napoandika hapa mke wangu amefungiwa ndani , sasa hii hali Kama ya Mke wangu imeanza kumungia mtoto wangu wa kwanza Ana umri wa miaka 10 anaongea peke yake anaharibu vitu ndani .

Akikaa kidogo na wadogo zake wanapigwa kipigo kikali Sana hivyo mtoto na mama yao ambaye ni mke wangu ni Kama wanaumwa ugonjwa unaofanana.

Nimefatilia Sana katika familia zetu kujua Kama kuna mtu amewahi kupitia hali Kama hii sijafanikiwa kupata majibu.

Baada ya yote haya nimeamua nisafiri nimpeleke hosptali inaitwa milembe ipo Dodoma nimpeleke Mama na mtoto wawafanyie uchunguzi.

Wakuu naumia Sana Kazi haziendi mtaji umekata .

Ikiwa kuna wadau wanaweza nisaidia 400K nikapata nauli na kumsafirisha huyu Mama na binti yetu nitashukuru , Endapo nikifika Dodoma gharama zikahitajika zaidi nafikiria pia kuuza kiwanja ambacho nilikinunua Kwa ajili ya ujenzi.

Mrejesho

Wakuu nashukuru Kwa ushauri wenu mpaka sasa niseme nitaufanyia Kazi kadri nitakavyojaliwa.

Pia nimeona nianze na hii hatua ya maandalizi ya kumpeleka mgonjwa Dodoma yeye na Binti yetu pale Milembe , nitafanya huduma za hosptalini Ila pia sitoacha kumuombea kila siku.

Ikiwa unataka kuwasiliana na Mimi au Kwa chochote Ni-PM.

Pia nina kiwanja Heka moja ni kiwanja kipo katika muundo wa shamba ninakiuza ili pia kinisaidie katika hiki kipindi .

Gharama ya kiwanja ni maelewano kipo Katoro Bukoba Vijijini (Kagera)

Mungu awabariki nyote.🙏🏽
Unamwomba Mungu akuguse kwa mambo gani mkuu? Uko Bukoba, nenda kwa Father Kamugisha hapo Minziro mpige maombi ya nguvu!
 
Familia yangu ilikuwa vizuri Ila ilianza kuingia changamoto ambazo zimeniumiza Sana Akili na kunipa mawazo.

Pole sana

Elekea kwenye MAOMBI.

NA PIA
Je, umechepuka popote pale au niulize na umemchezea mwanamke ukamuumiza

Au pia kudhulumu mtu kwenye BIASHARA?

Nauliza tu kutokana na kujifunza kusoma ya humu JF ya wadau.
 
Kuna mmoja Ka comment aende Kwa Mganga wa Kienyeji, sijaona ukisema chochote....!

Mimi ni Mtu ambaye Maombi yameniponya changamoto kubwa, na kama ningewasikiliza Watu kama wewe, mpaka Leo ningekua na changamoto Hiyo.
Mkuu ilivyo ni kwamba wapo watu waliyoenda kwa Mwamposa wakapata suluhu ya matatizo yao na wapo ambao walikuwa kila wiki wako huko ila hadi sasa hakuna walichopata, pia kwa waganga ni hivyo hivyo wapo waliyosaidika matatizo yao kwa waganga na wapo ambao wameangaika kwa waganga bila mafanikio.

Kwaiyo kama wewe umesaidiwa na mambo ya Mwamposa basi kubali pia wapo ambao wametoka kapa.
 
Habari wanaJF .

Kiufupi Mimi Baba wa watoto watatu ambao wote ni wa kike.

Naishi nao pamoja na Mama yao .

Tumefanikiwa kuishi miaka 12 mpaka sasa katika ndoa yetu.

Changamoto kubwa ambayo ninaipitia ni hii hapa.

Mimi kazi yangu kubwa ambayo huwa nafanya ni kuuza mazao , kuku wa kienyeji huwa naenda kijijini naangalia bei ndogo ya bidhaa Kama mahindi au kuku nanunua na kuja kuuza mjini.

Kiufupi Mimi ni mjasiriamali wa kiwango cha chini ambaye bado napambana.

Jambo Ambalo limenifanya nije ni changamoto iliyompata mke wangu na watoto.

Familia yangu ilikuwa vizuri Ila ilianza kuingia changamoto ambazo zimeniumiza Sana Akili na kunipa mawazo.

Mwezi wa kumi Mke wangu alianza kuumwa kawaida kabisa nikampeleka hosptali kumpima ikaonekana hana tatizo .

Ila nikikaa nae usiku halali anaongea mambo Kama ya kuchizika Anapasua vitu ndani .

Sasa nikaona hii hali itakuwa mbaya nimempeleka hosptali zote za mkoa Government na private Ila tatizo lipo pale pale .

Napoandika hapa mke wangu amefungiwa ndani , sasa hii hali Kama ya Mke wangu imeanza kumungia mtoto wangu wa kwanza Ana umri wa miaka 10 anaongea peke yake anaharibu vitu ndani .

Akikaa kidogo na wadogo zake wanapigwa kipigo kikali Sana hivyo mtoto na mama yao ambaye ni mke wangu ni Kama wanaumwa ugonjwa unaofanana.

Nimefatilia Sana katika familia zetu kujua Kama kuna mtu amewahi kupitia hali Kama hii sijafanikiwa kupata majibu.

Baada ya yote haya nimeamua nisafiri nimpeleke hosptali inaitwa milembe ipo Dodoma nimpeleke Mama na mtoto wawafanyie uchunguzi.

Wakuu naumia Sana Kazi haziendi mtaji umekata .

Ikiwa kuna wadau wanaweza nisaidia 400K nikapata nauli na kumsafirisha huyu Mama na binti yetu nitashukuru , Endapo nikifika Dodoma gharama zikahitajika zaidi nafikiria pia kuuza kiwanja ambacho nilikinunua Kwa ajili ya ujenzi.

Mrejesho

Wakuu nashukuru Kwa ushauri wenu mpaka sasa niseme nitaufanyia Kazi kadri nitakavyojaliwa.

Pia nimeona nianze na hii hatua ya maandalizi ya kumpeleka mgonjwa Dodoma yeye na Binti yetu pale Milembe , nitafanya huduma za hosptalini Ila pia sitoacha kumuombea kila siku.

Ikiwa unataka kuwasiliana na Mimi au Kwa chochote Ni-PM.

Pia nina kiwanja Heka moja ni kiwanja kipo katika muundo wa shamba ninakiuza ili pia kinisaidie katika hiki kipindi .

Gharama ya kiwanja ni maelewano kipo Katoro Bukoba Vijijini (Kagera)

Mungu awabariki nyote.🙏🏽
Hayo ni matatzo ya akili.

Ukiacha mirembe kuna hospitali ya Lutindi pale Korogwe ni nzuri.

Gharama ni laki 3 unusu kwa mwezi kama ada.

Afya kwanza mengine baadae.
Pole sana mkuu.
 
Ndio matatizo ya akili ila sababu yake ni nini? Na imekuaje kaanza mama mara kafuata na mtoto kama wameambukizana?
 
Mkuu ilivyo ni kwamba wapo watu waliyoenda kwa Mwamposa wakapata suluhu ya matatizo yao na wapo ambao walikuwa kila wiki wako huko ila hadi sasa hakuna walichopata, pia kwa waganga ni hivyo hivyo wapo waliyosaidika matatizo yao kwa waganga na wapo ambao wameangaika kwa waganga bila mafanikio.

Kwaiyo kama wewe umesaidiwa na mambo ya Mwamposa basi kubali pia wapo ambao wametoka kapa.
Ni sawa....!

Kama wewe ni Mkristo basi utakua unajua ni Nini kinasababisha mtu kuombewa na Asipokee ama asipone...!

Wako Watu wanaamini wakienda Kwa Mwamposa mpaka pale akiwawekea Mikono ndo watapona, ama akikutana nae ofisini akamuombea ndo atapona, ila wako Watu waliamini kwamba nikifika tu pale Kwa Mwamposa basi nitapokea uponyaji na ikawa hivyo.

Wachungaji ni Watumishi tu wa Mungu, kazi Yao kukuombea, jukumu la Uponyaji ni la Mungu.

Mchungaji kakuombea na hujapona sio tatizo lake, ila jiangalie wewe mwenyewe ndani Yako, utaona Mashaka, kutokua na hakika na Vikao vingi Moyoni, wengine sababu ya Madhehebu Yao n.k.

That's why now days kama Kuna Watu ambao ni rahisi kupona Makanisani ni Waislam, coz Waislam hawana mambo mengi.... Yeye akishuhudia mtu anayemfahamu ama Ndugu yake kapona Kanisa flani, na yeye kesho anaenda Kwa Imani kwamba kama hata Ndugu yangu kapona na mm ntapona.

Lakini Wakristo Wana Vikao vingi Moyoni.
Mkuu ilivyo ni kwamba wapo watu waliyoenda kwa Mwamposa wakapata suluhu ya matatizo yao na wapo ambao walikuwa kila wiki wako huko ila hadi sasa hakuna walichopata, pia kwa waganga ni hivyo hivyo wapo waliyosaidika matatizo yao kwa waganga na wapo ambao wameangaika kwa waganga bila mafanikio.

Kwaiyo kama wewe umesaidiwa na mambo ya Mwamposa basi kubali pia wapo ambao wametoka kapa.
 
Anacharge mkuu tena hela ndefu.ndugu zang flan walicharge laki ,3
Nenda Kanisani, kafanye Maombi hapo, Tena siku hizi Mwamposa anamwekea Mkono na kumuombea mtu mmoja mmoja Kanisani...!

Mimi nimeponywa hapo Kwa Mwamposa, sijalipa hata 10,000 zaidi ya 5,000 ya Sadaka, na hakuniombea....! Nilimwambia tu Mungu vile navyoona anawagusa wengine na Mimi naomba aniguse, nikapona...!

Kama huja Imani kuza Imani Yako, kumuona yeye one to one hakukupi uhakika wa Uponyaji.
 
Sasa kama ni kumuamini Mungu kwa nini hadi uende kwa Mwamposa wakati Mungu yupo tu popote mkuu? Mimi nachokiona hiyo imani yao watu yenye kuwapona wameigemezea kwa Mwamposa.
Hata kipindi cha Yesu, wagonjwa walipelekwa kwa Yesu na kuombewa. Lakini Yesu alisema Imani yako imekuponya. Mgonjwa alienda kwa Yesu akiamini akiombewa na Yesu anapona.

Panadol au Erithromicyne zipo kila mahali kwenye maduka ya madawa yaliyojaa mtaani, lakini mtu anaenda Hospital kuandikiwa dawa hizohizo na daktari.

Mtu anapokuwa na tatizo linamkabili anaona kama yeye amefikia ukomo, lipo juu ya uwezo wake. Kuna watu kazi yao ni maombi muda mwingi na wana nguvu, wamepewa nguvu kiroho ya kiimani na kuamsha imani za wengine. Sasa hapo ndio akina Mwamposa na wengine wanaingia.

Lakini imani yako ikiwa iko thabiti, hauna haja ya kwenda kwa akina Mwamposa. Unaunganisha mwenyewe na Mungu mambo yanaenda.
 
Back
Top Bottom