Familia yangu Mke na Mtoto wangu Mkubwa wamepata tatizo la Akili naomba ushauri wakuu

Kwahiyo unasema huenda Mungu ndo kamroga huyu jamaa na familia yake baada ya kuombwa na mtu aliyemdhulumu??? Yaani kama kuna sehemu kadhulumu basi karogwa na Mungu, au!?!?
 
Chukua Mke na Watoto peleka Kawe kwa Mwamposa kwenye Maombi...! Usichelewe, hakuna gharama ni Bure....!

Hata kama hujui kusoma picha huoni...!?
Hii hoja ninaiunga mkono, Tena achukue hatua ya haraka maana huko milembe hatapata majibu
 
Ninahisi pasipo na shaka kabisa kwamba katika mali ulizonunua kama vile kuku ama mazao kuna mali uliipata kwa WIZI. Hasa kama biashara hiyo uliifanyia Dodoma, Sumbawanga nk. Usizungushe zungushe
 
Una wazazi? Naamini wangekupa ushauri mzuri zaidi. Hakuna cha Milembe hapo. Unaenda kupoteza hela na ndo lengo la mchawi.
 
Kama Mwamposa Ataendelea Kuwa Pale Kawe Na Kushindwa Kwenda Mahospitalini Kuponya Wagonjwa Nitakuwa Mtu Wa Mwisho Kuamini Drama .Mleta Mada Utoto Unakusumbua Au Ushamba Pia Inaweza Kuwa Sababu Katoro Yote Bukoba Yote Hakuna Waganga? Kwa Akili Ya Kawaida Tu Inaonyesha Kuna Uchawi Umetembelea Nyumba Yako Huko Milembe Wataambulia Kupewa Dawa Za Kuwazubaisha Ila Sio Za Kumaliza Hilo Tatizo.
Ninachokushauri Kuna Mdau Hapa Jf Alileta Uzi Wake Una kichwa Cha Habari Kinachosema "CHANGAMOTO YA KUTEMBEA"Kama Kuna Mdau Anaweza kuupandisha Ule Uzi Afanye Hivyo.
Ukishausoma Mfuate Pm Mwenye Uzi Muulize Akupeleke Kwa Mganga Wake Aliyemtibia Ninatumai Utasaidika Acha Mambo Ya Hospitali Huu Ni Ushauri Wa Mwafrika Kwenda Mwafrika Ukibisha Shauri Yako .
 
Unawezaje kuamini uchawi usio thibitika na ukashindwa kumwamini mwamposa?
 
Jee Kuna Neno Gumu Loloteeeee Asiloliweza? Yesu Kristo Mponyaji naye akujalie uponyaji katika Familia Yako.
Jina La Yesu Lipo Ila Kila Siku Watu Wanataabika Na Magonjwa,Njaa,Vita Na Makolokolo Kibao Mungu Alipokuumba Alikuwekea Akili Ikawe Msaada Kwenye Maisha Yako Acha Kuigeuza Akili Yako Kama Sofa La Pale Sebuleni .
Kama Kweli Jina La Yesu Linatenda Mbona Wachungaji Hawanunulii Magari Kwa jina La Yesu Makanisa Kila Siku Yanajengwa Kwa Pesa Za Michango Yenu Mbona Hamumwambii Ajenge Kwa Jina La Yesu? Acha Uzezeta Amka.
 
Tafuta Kanisa wapeleke wakaombewe, fedha na Mali hatuna Sababu ya kukupa maana huo sio ugonjwa wa unakompeleka, tulichonacho ni kwamba mpeleke akaombewe!
Acha Upimbi Kupeana Ushauri Wa Kijinga Ebu Anza Wewe Kujiombea kila Simu Ikiisha Bando Ombea Simu Yako Yesu Aweke Bando Kwa Jina Lake.
 
Daaaah, pole sana mkuu. Mungu akakufanyie wepesi katika changamoto hizi ndugu yangu..
 
Mimi nina njia lakini mpaka nikujue vuzuli mkuu

Pamoja na hayo nikupe pole sana ndugu yangu nahisi nina ihisi hali unayo ipitia

Tatizo ni sina hakika kama nikweli au rah
Mkuu Kuna Komenti Yangu Humu Nimemwambia Mleta Mada Atafute Uzi Wako Wa Changamoto Ya kutembea Nimemshauri Ausome Alafu Akutafute Pm Nami Nimehisi Unaweza Kumsaidia.
Kama Yuko Siriasi Naomba Msaidie.
 
0624 117 794

Napatikana Napa hata Kwa kunipa Muongozo tu nitashukuru pia.
Kama Una Changamoto Hiyo Mtafute Memba Mmoja Wa Kuitwa KILLING MACHINE.Ila Kama Unahitaji Michango Tu Naomba Mungu Usipate Hata Mia.
Kwani Kuna Watu Ni Mafundi Wa Kutunga Stori Ili Tu Jamaa Wakuchangie Ukanywe Bia Uku Ukiwanawa MabarMeid Wenye Nyashi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…