DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Twende taratibu PetroNijuavyo, Marehemu Kasailo alikuwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni. Ilala inahusikaje? Nadhani, kuna Juma Hassan wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Ilala na Juma Kasailo wa Kinondoni ambaye ndiye aliyefariki.
Mkuu, Hakimu Kasailo alikuwa KinondoniTwende taratibu Petro
Imetajwa mahakama ambayo huyo hakimu
alikuwa akihudumu Ilala.
Sawa mkuu nimekupata.Mkuu, Hakimu Kasailo alikuwa Kinondoni
I see, kwahiyo si Kasailo? Au Juma Hassan naye anatumia Kasailo kama jina la ukoo?Sawa mkuu nimekupata.
Ila aliyefariki ni Mh Juma Hassan wa Ilala
nimeconfirm sasa hv.
Inawezekana ni majina ya ukoo ama mtoa taarifa alikosea jina la ukoo lknI see, kwahiyo si Kasailo? Au Juma Hassan naye anatumia Kasailo kama jina la ukoo?
Aisee!Mtu ameaga dunia badala ya maneno ya faraja kwa wafiwa wee unaanza chuki zako binafsi na wivu hata hivyo huku golini ndo mambo mazuri au unaongeaongea tu!Uchawi hutumia hayo magonjwa ambayo ni Kisayansi. Ili msiwe na hofu.
Hata ajali inatengenezwa ,mnabaki kumtukana dereva. Kwangu mimi ni ujinga kusema uchawi haupo/haufanyi kazi huku ukiamini uwepo wa Mungu na ukipiga maombi ya kibabe.
Kutokujua kwako mechanism isiwe sababu, unaandika ujumbe JF ukiwa Simiyu,USA baby Nyani Ngabu anausoma akiwa USA(inasemekana amerudisha mpira kwa golikipa,yuko bongo,hali mbaya). Mechanism ya inakuaje kuaje hauna. We kula zako huduma,utulie.
HAYA NI MAMBO YA KITAARAM SANA MWANANGU(in Chacha's voice).
Golini? Sijakusoma.Aisee!Mtu ameaga dunia badala ya maneno ya faraja kwa wafiwa wee unaanza chuki zako binafsi na wivu hata hivyo huku golini ndo mambo mazuri au unaongeaongea tu!