Familia za Viongozi wa Urusi

Mada inazungumzia hili nyie mnazungumzia lile yani iyo chuki yenu kwa Uislamu haina dogo

Jikiteni kwenye mada kma inavosemq
 
Nilichoelewa huu Uzi, kumbe hata mataifa mengine wanaiwaza sana na kuiamini sana USA. Ndio mana wanapeleka familia zao huko.
 
Hii Topić ni ngumu sana kwako. Sijui hata nianzie wapi kukuelimisha maana umesikiliza sana CNN.....
Ni wapi umemsikia Putin akisema West ni Adui zake?
Huyu huyu Putin aliyemwambia Clinton anataka Russia iwe NATO na Clinton akamcheka? Badili Media Kiongozi...

 
Hata Obama aliishi na kusoma Indonesia.
Assad alisoma na kuishi UK
Kim Jong Un alisoma na kuishi Switzerland.
Mwisho wa siku hao wote walirudi kuongoza nchi zao.
Ata Yesu aliishi Egypt akarudi Israel.
Naomba nikuongezee maarifa Yesu aliishi na kusoma Egypt katika chuo ambacho Sasa hivi kinaitwa "Alexandria university"😡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…