Familia zenye Laana, taifa lenye laana,

Familia zenye Laana, taifa lenye laana,

Kuna nchi zenye laana pia
 
Uzi huu hautapendwa na kausha damu kwakuwa wanadhulumu watu.Lakini kuna wale wanaodhulumu huku wamejificha mpaka mtu wa 12 kukwepa mishale ya laana na adhabu za dhulma wamemuweka mtu wa kwanza mpaka wa kumi na mbili ale ile mishale kwa niaba yake.Aisee.
 
Laana ni wewe kukataa dini yako ya asili na kuwa mtumwa wa dini za wazungu.

ushawahi kuona mchina anatolewa mapepo?
 
Laana za ukoo na familia tunaziondoa Kwa kufanya toba na maombi ya nguvu ili kuvunja hiyo laana isiende Kwa uzao wako na wajukuu wako..
Haya maombi tunafanya Sana kanisani kwetu tena sometimes kunakuwa na semina ya wiki nzima tunafundishwa jinsi ya kuondokana na laana za kurithi.

Laana za ukoo haziondoki Kwa maombi ya jumapili Hadi jumapili Bali unahitaji utakaso wa Moyo huku ukifunga na kukesha ukiomba MUNGU, Sisi ambao tumeamua kujikita Kwa MUNGU tunajua haya
Imani bila matendo ni sawa na kupika kwa kuweka sufuria kando ya majife ya moto chakula hakitaiva, hivyo hivyo kwa kujipa imani kuwa ukisali sana ndio laana zinaondoka huku matendo yako bado yakiwa ni ya hovyo then jua unajidanganya.
 
Laana za ukoo na familia tunaziondoa Kwa kufanya toba na maombi ya nguvu ili kuvunja hiyo laana isiende Kwa uzao wako na wajukuu wako..
Haya maombi tunafanya Sana kanisani kwetu tena sometimes kunakuwa na semina ya wiki nzima tunafundishwa jinsi ya kuondokana na laana za kurithi.

Laana za ukoo haziondoki Kwa maombi ya jumapili Hadi jumapili Bali unahitaji utakaso wa Moyo huku ukifunga na kukesha ukiomba MUNGU, Sisi ambao tumeamua kujikita Kwa MUNGU tunajua haya
Ni wapi mkuu
 
Laana ni wewe kukataa dini yako ya asili na kuwa mtumwa wa dini za wazungu.

ushawahi kuona mchina anatolewa mapepo?
Lakini Kuna mungu superior
Mungu wa waafrika hawezi tengeneza hata toothpick ni dhaifu sana

Ndo maana walisubdue kwa mungu wa wazungu
 
Back
Top Bottom