Familia zenye Laana, taifa lenye laana,

Kuna nchi zenye laana pia
 
Uzi huu hautapendwa na kausha damu kwakuwa wanadhulumu watu.Lakini kuna wale wanaodhulumu huku wamejificha mpaka mtu wa 12 kukwepa mishale ya laana na adhabu za dhulma wamemuweka mtu wa kwanza mpaka wa kumi na mbili ale ile mishale kwa niaba yake.Aisee.
 
Laana ni wewe kukataa dini yako ya asili na kuwa mtumwa wa dini za wazungu.

ushawahi kuona mchina anatolewa mapepo?
 
Imani bila matendo ni sawa na kupika kwa kuweka sufuria kando ya majife ya moto chakula hakitaiva, hivyo hivyo kwa kujipa imani kuwa ukisali sana ndio laana zinaondoka huku matendo yako bado yakiwa ni ya hovyo then jua unajidanganya.
 
Ni wapi mkuu
 
Laana ni wewe kukataa dini yako ya asili na kuwa mtumwa wa dini za wazungu.

ushawahi kuona mchina anatolewa mapepo?
Lakini Kuna mungu superior
Mungu wa waafrika hawezi tengeneza hata toothpick ni dhaifu sana

Ndo maana walisubdue kwa mungu wa wazungu
 
Mungu wa wazungu anatengeneza toothpick?

Kwanini unaabudu Mungu wa wazungu ambae hakutambui?
Lakini Kuna mungu superior
Mungu wa waafrika hawezi tengeneza hata toothpick ni dhaifu sana

Ndo mama walisubdue kwa mungu wa wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ