Family business: Mke wa kamshika masikio kaka, anazidi kuingiza ndugu zake, ndio mwanzo wa hostile takeover ??

Mtendaji mkuu wa kampuni ni nani???? Swali na wajumbe ni kina nani???
Brother awekwe bench.....
 
Wanawake mnaowaoa na ndg zao wasihusike kabisa kwenye biashara zenu. Itisheni kikao cha nyie siblings ,azimieni hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…