Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Ni muhimu sana kwa watu waliopo ktk ndoa kuwa na Family friend au waliopo kwenye mahusiano serious kuwa na marafiki wa karibu .
Mwanamke uliyepo ktk mahusiano jitahidi umtambulishe rafiki wako wa karibu kwa mwanaume wako , na mwanaume uliyepo ktk mahusiano jitahidi umtambulishe rafiki yako wa karibu kwa mwanamke wako
Muhimu chagua rafiki mwenye hekima na Busara na pia awepo kwenye ndoa au mahusiano yake pia
Rafiki wa karibu anasaidia kuwa mediator, msuluhishi pale ambapo mahusiano yenu yanapitia changamoto , hata vyombo vikiwa kabatini inatokea vinagongana ,migongano hhaikosekani kwenye mahusiano au ndoa
Kuna mahusiano yanavunjika kwa kukosa mediator/ msuluishi