Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Ndioomaana nikasema chagua mtu mwenye hekima na busaraVile vile wanachapiana mbaya sana
Binadamu wanabadilikaNdioomaana nikasema chagua mtu mwenye hekima na busara
Hapo shida itakuwa kwa uliyekuwanaye maana malaya ni malaya tu hauwezi ukamzuiaBinadamu wanabadilika
Pamoja mwambaNaunga mkono hoja
Hii kitu hata kwenye biashara, ni nzuri sana uwe na washauri unao waaminiPamoja mwamba
Kabisa na ni vzr kuomba ushauri kwa mtu aliyefanikiwa ktk eneo hiloHii kitu hata kwenye biashara, ni nzuri sana uwe na washauri unao waamini
kuna jamaa yangu miaka zamani alikua na mchumba ake na akamtambulisha kwa washikaji huyu ni shemeji yenu wote wakasema poaHapo shida itakuwa kwa uliyekuwanaye maana malaya ni malaya tu hauwezi ukamzuia
Haya matukio ni kweli yapo , lakini haimaanishi samaki mmoja akioza wote wanakuwa wameoza , kwenye kutafuta mtu wa karibu angalia mtu aliyekuwa kwenye familia yake katulia na pia zingatia zaidi hekima na Busara .kuna jamaa yangu miaka zamani alikua na mchumba ake na akamtambulisha kwa washikaji huyu ni shemeji yenu wote wakasema poa
Baada ya muda mmoja kati ya wale masela akamzunguka na kumuiba yule shemej ake na akamtia mimba juu jamaa kaja kushituka demu kubadilka uhusiano ukafa jamaa aliumia kishenzi
Kumbe jamaa akiwa anapiga story na masela anawaambia oya kuna demu nimepata nataka kumgonga msela anabeba kama lilivyo amamplekea demu nadhani hii ndio alitumia kama mbinu ya kumuiba shemej ake
Akili kumkichwaHaya matukio ni kweli yapo , lakini haimaanishi samaki mmoja akioza wote wanakuwa wameoza , kwenye kutafuta mtu wa karibu angalia mtu aliyekuwa kwenye familia yake katulia na pia zingatia zaidi hekima na Busara .
Mara nyingi EGO za wanandoa ndio huvunja NDOA.Kuna mahusiano yanavunjika kwa kukosa mediator/ msuluishi
Mr Red black sahv haumuamini mtu kbsAkili kumkichwa
Ni kweli ego inaua sana mahusiano. Kuna mambo madogo madogo sio mbaya kumshirikisha labda rafiki wa karibu wa mke wako wao wakiongea inasaidia kuwekana sawa kama wanawake na sisi wanaume tukiongea tunawekana sawa kama wanaumeMara nyingi EGO za wanandoa ndio huvunja NDOA.
Infact, mkiona kuna jambo kwenye Ndoa mmeshindwa kulimaliza nyie wawili hadi mkahitaji third part, basi hapo hamna NDOA. Ni ishara kuwa Difference zenu ni kubwa kuliko similarities.
Ni wanandoa pekee na Mungu wanayemuamini ndio wanaweza kumaliza changamoto zao za ndoa.
Mpenzi wako anamwambia Rafiki yako nduguyo hanisugui vizuriNi muhimu sana kwa watu waliopo ktk ndoa kuwa na Family friend au waliopo kwenye mahusiano serious kuwa na marafiki wa karibu .
Mwanamke uliyepo ktk mahusiano jitahidi umtambulishe rafiki wako wa karibu kwa mwanaume wako , na mwanaume uliyepo ktk mahusiano jitahidi umtambulishe rafiki yako wa karibu kwa mwanamke wako
Muhimu chagua rafiki mwenye hekima na Busara na pia awepo kwenye ndoa au mahusiano yake pia
Rafiki wa karibu anasaidia kuwa mediator, msuluhishi pale ambapo mahusiano yenu yanapitia changamoto , hata vyombo vikiwa kabatini inatokea vinagongana ,migongano hhaikosekani kwenye mahusiano au ndoa
Kuna mahusiano yanavunjika kwa kukosa mediator/ msuluishi