Family Marriages VS Love Marriages: Which is which?!

100% UPO CORRECT!...na kwakweli mtu yoyote anayeamua kuangalia the majority situation atakuwa upande wako!niko na wewe mama.THANK YOU
 
hahaha, huenda mwenzio alikuwa ana maanisha mafanikiwa kwa maana ya kwamba hawajagombana hadi sa ivi manake wengine huwa wanagombana huko huko?

By the way carmel wataka kurudi honeymoon ili uweze kuonja mafanikio?
I am really thinking about doing just that! si unajua hizi story za honemoon zimekuwa nyingi hapa recently hadi nafikiria kurewind lol!
 

You see! nilikuwa najiulizza umeenda wapi kumbe ndo ukiandaa vitu vya nguvu kama hivi

Hivi yale maandamano ya wanaharakati ni kesho ama leo? Ningependa baada ya kuandamana dhidi ya bunge, waaanda menhine juu ya issue kama hizi

Bravo MJ1 that was a nice piece (AGAIN)
 
I am really thinking about doing just that! si unajua hizi story za honemoon zimekuwa nyingi hapa recently hadi nafikiria kurewind lol!
HEHEHE!ni bora ukarudi hanemuni...!remember LIFE IS TOO SHORT TO SPEND IT UNHAPPY
 
mi simo we tangaza tu, watu watakaandalia mpango mzima ili waprove shaurilo we!
 
I am really thinking about doing just that! si unajua hizi story za honemoon zimekuwa nyingi hapa recently hadi nafikiria kurewind lol!

hahaha usiambie zimegusa Medula Oblangata.....umeamsha nerves nyingine zilikuwa zimelala eeh...subiri tare 25/3 umpate EmannuelπŸ˜€πŸ˜€
 
Ukiamua kusifia mtu,lolz!......πŸ˜€
 
Usifanye mchezo kuchaguliwa mume ati Geoff si jambo zuri kabisa
sasa ikitokea umechaguliwa mume na ukampenda?....πŸ˜€
 
Usifanye mchezo kuchaguliwa mume ati Geoff si jambo zuri kabisa
JS kwa zamani haikuwa mbaya kiivyo na si wanasema hakuna mzazi amwombeaye mwanae mabaya? So ni wazi uchaguzi wao ungekuwa makini.

Ila ndo kama nilivyosema ukiliangalia hili jambo katika context ya sasa si rahisi kwa sababu kuna mengi yameshatuharibu kiasi kwamba hata tukisema tuapply ya wazazi haita work.

Kumbuka pia unawezamchagua wako ambaye umempenda na mnapendana but kwa kuwa hakuna ile attachment ya wazazi iko siku anawezakukugeuka na ukabakia kutoa kilio cha ajabu- soma visa vyote vinavyotokea mara mume kajiservia tigo kwa nguvu, mume kaleta hawara nyumbani, mume kapiga mama mjamzito au mke kafumwa na houseboy, mke na kiserengeti, yaani ni mtafaruku tu na hao wote walichaguana kwa slogan ya 'we love each other'.
 
dah hutajwi mpwa? Nilikuwa nazungumzia authorities za watu hapa mara umaingia

welcome back!

Hehehehe thanks wapwa kwa kuniokoa na kichapo.
Lakini nilirudi kudumisha mila kama kawa.
Off topic
 
....ukweli mtupu!wewe unaeleweka kuliko maelezo!nisaidie kumwelewesha kaizerπŸ˜€
 
Usifanye mchezo kuchaguliwa mume ati Geoff si jambo zuri kabisa

Jana nikiwa stand nilikutana na binti mmoja tukiwa shule nilimpenda sana tena mno nikataka nimchumbie alinipiga kibuti cha ugoko jana nikaonana nae dah Mungu si athumani nikakumbushia ahadi yangu ile naona anakuja sasa huyu nimfanyaje kipindi kile alinitosa sasa anakubali nimuoe hajachuja kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…