KRISTIAN P
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 352
- 57
Habari zenu waheshimiwa,kwenye familia yangu kuna tatizo kubwa sana kati yangu na ndugu na kisa mafanikio yangu madogo wanataka kunitoa roho,kifupi kuna binti naishi naye nimezaa naye mtoto kwasasa ana umri wa miaka 4,ila kwetu uyu binti awampendi na ndio chanzo mpaka leo sijamuoa kwan mama yangu anasema nikiedelea kuishi na huyo binti ata nipa radhi na familia yangu ina msupport mama yng,kifupi kwamba mama yangu anaishi ulaya kwa muda mwingi mwaka 1998 aka nichukua kwenda kusoma nika fanikiwa nika maliza masomo uko,ila maisha ya ulaya na mm tofauti nikahamua kurudi bongo baada ya masomo 2008 na kuwekeza nina ofisini yng ina ningizia kipato na nimepanga kwangu naishi na yule msichana niliye zaa naye ila familia yangu inapiga. Mama yng ana nyumba mbili hapa mjini na ndug wengi waishi kwenye hizo nyumba kwa miaka mingi sasa wanasema kwann nipange na wakati nyumba za bure zipo,na kwakua mama yupo nje ya nchi miaka mingi aliniachia ni muangalizie kumchukulia kodi na kutumia,juzi karudi wame mjazaa maneno basi mwaka jana wakaja pale napo ishi waka nifanyia fujo wakavunja kila kitu cha ndani mpiga yule msichana wangu,wa kamtupa mtoto wng barabarani,nilivyo ona hivi nikachukua huamuzi wa kwenda polisi wakaja pale home waka wachukua ndug zng mpaka kituo cha polisi,waka muhoji mama anadai ataki nipange na ataka nirudi nyumbani la sivyo anachukua kila kitu changu,ndug waka anza rudi tu nyumbani uyu mama yako usi mdharau ila mm ni kabaki na msimamo wng sikurudi nyumbani na polisi wakasema warudishie kila kitu walicho chukua kwangu tatizo lina kuja wapi mama yangu ana roho mbaya sana kwa mfano nina kiwanja ataki niandike jina la mtoto wangu anaogopa yule mwanamke wng atachukua kila nacho fanya nisi muadikishe mtoto wng jamani hii haki kweli damu yng mwenye?? Wasi wasi wng upo kuna kesho naweza ni kawa sipo waka mzulumu mtoto wng haki yake je nifanyeje kuginga hizi mali zng???