Famlia yangu ina roho mbaya msaada wa kisheria pls

Famlia yangu ina roho mbaya msaada wa kisheria pls

kijana wangu wewe kweli umekaa ulaya kweli wewe? Na uyo mama yako ni wa ulaya kweli? Au unaelezea shida za rafiki ako humu muache aje baadae.
 
kwani si anamuoa yeye na kuishi naye yeye
wewe unataka kumtafutia 'unayemtaka wewe' kama yeye hamtaki?
wewe wamwona nung'ayembe lakini kwake amwona malkia
mwanaume anapaswa kuwa na maamuzi na kusimama imara...vinginevyo akina mama mnayumbisha ndoa za watoto wenu kwa kuingilia maamuzi yao ya kimapenzi....
 
Mwanaume ni maamuzi, na ndio maana Mwanamke hakuumbwa kuwa kiongozi kwani jifunze kwenye hiyo vurugu !
Kama kweli unajitegemea kwa 100% basi fanya yafuatayo;
Oa kwa taratibu zote bila kutegemea msaada wa yeyote !
Hakuna haja ya mtu yeyote kujua wewe una nini na umemwandika nani !
Waambie ndugu zako (ikiwa pamoja na mama) wachague 'either be with u or against you'
Wale against you, wapige P.I yaani hakuna ruhusa kukanyaga kwako !
Mama muheshimu ila muonyeshe wazi hauko tayari kuingiliwa !
Huyo ndio mwanaume wa kweli, kama yule wa DUME !
 
ni kweli na miaka 25 ila uyu mama ana taka kuni talawa yani km bado mtoto mdogo atakacho sema yeye basi kwng ndio kizuri ni kifate yan nina kila kitu kasoro upendo wa mama wa kuni supprot inauma sana una sikia watu wana wasifia mama zaho mm sina la kujisifia

Katika familia yangu tuliwahi kumpa mke 'mtoto wa mama' yaani kijana anaendeshwa na mama yake kila kitu ! Mshahara wote anampa mama na mke anasota. Ili kuwadhibiti, mama hakuruhusu kijana akaishi mbali nae (yaani waliishi nyumba moja) ana dhibiti kuanzia chakula na vitu anavyo mnunulia mama anapora (nguo, dhahabu nk) ! Mtoto wetu alimpenda mno kijana, ila ilifika mahali hali ikawa ngumu.
Tulichofanya ni kumshawishi mke aombe talaka, kisha tukadai custodian (walio zaa nae) ya mahakamani na tukashinda. Mwisho yule mama na mwanae ndio lossers, binti kaolewa na yuko sawa !
 
Mwanaume ni maamuzi, na ndio maana Mwanamke hakuumbwa kuwa kiongozi kwani jifunze kwenye hiyo vurugu !
Kama kweli unajitegemea kwa 100% basi fanya yafuatayo;
Oa kwa taratibu zote bila kutegemea msaada wa yeyote !
Hakuna haja ya mtu yeyote kujua wewe una nini na umemwandika nani !
Waambie ndugu zako (ikiwa pamoja na mama) wachague 'either be with u or against you'
Wale against you, wapige P.I yaani hakuna ruhusa kukanyaga kwako !
Mama muheshimu ila muonyeshe wazi hauko tayari kuingiliwa !
Huyo ndio mwanaume wa kweli, kama yule wa DUME !

Umefunga kazi.
 
Nashukuru ndug, baba simjui nasikia tu alishakufa yani uyu ni mama yng ila anayo nifanyia siyo kabisa kwan ata siku moja sijaenda kwake kumuoba ata sh.kumi najitemea mwny kodi nalipa wmny mtoto wng pia na msomesha sijaua jua tatizo lao ni nn mm nahisi itakua izo nyumba za ulisi labda

Tatizo wewe vita unaruhusu ipiganiwe mlangoni kwako ! Wapeleke vita mlangoni pao ndio utashinda ! Anza kwa kuwafukuza kwenye nyumba za mama yako! Tena kwa nguvu zote, jifanye kama umepagawa hivi !
Usipoangalia huyo mke wako nae atakuja kukugeuka pale atakapo hisi unashindwa kuiendesha vita kwa ufanisi, hivyo una hatarisha yeye kukosa kila kitu !
Haya mambo mie nimeyashuhudia. Hivyo wapelekee vita mlangoni kwao !
 
Ni vizuri kuwa na muafaka na wazazi hasa kuhusu masuala ya mahusiano, ikitokea kutokuelewana na huyo dada/mke hilo suala utalitatua vipi? Busara inahitajika katika hili.
 
Proverb 26:2 Curses cannot hurt you unless you deserve them. They are like birds that fly by and never light

Mithali 26: 2 Kama shomoro katika kutanga-tanga kwake, Na kama mbayuwayu katika kuruka kwake; Kadhalika laana isiyo na sababu haimpigi mtu
 
Sasa sijaona unataka msaad wa kisheria kivipi maanA wewe ni mtu mzima na una maamuzi yako kabisa...ss kwani unalpoenda kuandikisha jijna la kiwanja kwa registrar of titles. Unakwenda na mama yako au vipi? Fanya unayoona yana umuhimu kwako wewe jamaa mwanaume ni maamuzi bi mkubwa ni wakupew taarifa tu
 
Pole sana, hataki uandike wa kwako na hataki akuandike wewe, ndio maana yake. Mzazi asiyekutakia maisha ya furaha, ni ubinafsi.
 
andika jina la mwanao,ni wajibu wako kumtunza,ikitokea ukafariki mtoto lazima tu atatunzwa huyo mwanamke akienda kuomba msaada wa kisheria lakini ili kuepusha matatizo yatakayo watokea, muandike huyo mtoto achana na siasa za mama yako,na kama umeshakaa na huyo mwanamke kama mume na mke kwa mda unaozidi miaka 2 then kisheria hiyo inaitwa presumption of marriage, huyo dada ni mke wako...fikiria kuhusu mtoto wako asiteseke baadae
 
Mwanaume ni maamuzi, na ndio maana Mwanamke hakuumbwa kuwa kiongozi kwani jifunze kwenye hiyo vurugu !
Kama kweli unajitegemea kwa 100% basi fanya yafuatayo;
Oa kwa taratibu zote bila kutegemea msaada wa yeyote !
Hakuna haja ya mtu yeyote kujua wewe una nini na umemwandika nani !
Waambie ndugu zako (ikiwa pamoja na mama) wachague 'either be with u or against you'
Wale against you, wapige P.I yaani hakuna ruhusa kukanyaga kwako !
Mama muheshimu ila muonyeshe wazi hauko tayari kuingiliwa !
Huyo ndio mwanaume wa kweli, kama yule wa DUME !

Well said
 
Back
Top Bottom