Famlia yangu ina roho mbaya msaada wa kisheria pls

Famlia yangu ina roho mbaya msaada wa kisheria pls

na ni kweli wana mshokea kwakua wana kaa kwenye nyumba zake naho ni wajomba zng watu wazima kushinda mm na wana watoto zao wote wana kaa humo wana nichukia mm wana km na wakashifu kwakua nime hama najitegema,maisha yng yana endelea nimejiweka mbali nao wana ona km na wazalau ndio mana wana ni chukia
 
Pole sana kaka,kisheria huyo mke wako anatambulika na anabebwa na kitu kinaitwa PRESUMPTION OF MARRIAGE katika sheria ya ndoa ya mwaka 1971 itumikayo Tanzania,"MWANAMKE UNAYEISHI NAE NDANI KWA KIPINDI KISICHOPUNGUA MIAKA MIWILI NA JAMII INAYOWAZUNGUKA IKAWACHUKULIA KAMA MUME NA MKE,HAPO MWANAMKE ATATAMBULIKA KISHERIA".kuhusu mali zako jitahidi sana uziweke katika documents halali kama hati ya kiwanja n.k,kama hujaelewa nijuze hapa.
 
ni kweli na miaka 25 ila uyu mama ana taka kuni talawa yani km bado mtoto mdogo atakacho sema yeye basi kwng ndio kizuri ni kifate yan nina kila kitu kasoro upendo wa mama wa kuni supprot inauma sana una sikia watu wana wasifia mama zaho mm sina la kujisifia
 
kiwanja tayari nina document na kipo kwenye jina lng,je mali nyingine kwa mfano za ofisini zina fika ata ml.10 bd vitu vya ndani na ziweka vp kwny document halali.
 
Ndugu yangu una hasira mpaka Kiswahili huwezi kuandika
Labda ni saidie hapa tu Baba alikuwa Kabila gani
Na Mama ni Kabila gani maana kama ni Machagga huo ndio mtindo wao hasa km ni Mpalestina
Km ni Mhaya,Mpare, Mmarangu , Mhorombo atatulia baada ya kupiga mtoto wa pili maana huwa hawakubali Makabila ya nje
Km ni Mnyakyusa, Msukuma sasa hivi tu atampenda mke baada ya kumkalisha chini
Kama ni Mgogo wala hana maneno ndio atampenda kabisa
Ila nasisitiza km ni Mpalestina huta kaa uoe mke amkubali (samahani kwa dada zangu wa JF wanaotokea huko huo ndio ukweli vijana wanaumia wawekeni huru waoe)

TAFADHALI MAMA KABILA GANI NA BABA PIA?
 
pole sana sana kwa hali hiyo ndg yangu. Wanawake wa hivyo wapo na wanafanya hivyo kwa maslahi yao binafsi, kwa sababu hata ukimuoa wanayempenda wao, baada ya muda watamletea vitimbi tu.

Nakushauri, funga na kuomba kama siku 3 au zaidi mlilie Mungu juu ya hilo. Naamini Mungu atakusaidia aidha unaweza kushirikisha watumishi wa Mungu ili wakusaidie kuomba
 
Hivi kumbe kuna wakati wamama tunapoteza utu wetu kwa vitu visivyo na msingi eehh?? tuna tatizo gani wamama??
 
Nilienda kumwambia mama na kiwaja nime nunua nilijua labda ata furahi mwanae na jituma cha kwanza alicho niuliza umeandika jina la nan?? na akasema nasikia kwenye ofisi yako umeandika jina la mtoto wako wat this?? roho inauma sana nafikiria nichukue atua za kisheria wasije kuja nunialibia maisha alafu badae waka baki wana nicheka

simamia miguu yako kumtetea mwanao.hakuna mtu anaweza kulea mtoto wa mwenzie kwa sasa.pendaneni mlee mtoto wenu kama unaweza hama mahali ulipo.pole dogo dunia ndivyo ilivyo.
 
Ndugu yangu una hasira mpaka Kiswahili huwezi kuandika
Labda ni saidie hapa tu Baba alikuwa Kabila gani
Na Mama ni Kabila gani maana kama ni Machagga huo ndio mtindo wao hasa km ni Mpalestina
Km ni Mhaya,Mpare, Mmarangu , Mhorombo atatulia baada ya kupiga mtoto wa pili maana huwa hawakubali Makabila ya nje
Km ni Mnyakyusa, Msukuma sasa hivi tu atampenda mke baada ya kumkalisha chini
Kama ni Mgogo wala hana maneno ndio atampenda kabisa
Ila nasisitiza km ni Mpalestina huta kaa uoe mke amkubali (samahani kwa dada zangu wa JF wanaotokea huko huo ndio ukweli vijana wanaumia wawekeni huru waoe)

TAFADHALI MAMA KABILA GANI NA BABA PIA?

cio wapalestina tu hata ndugu zetu wa milimani(wamatengo) ndio tabia zao.shame.
 
pole sana sana kwa hali hiyo ndg yangu. Wanawake wa hivyo wapo na wanafanya hivyo kwa maslahi yao binafsi, kwa sababu hata ukimuoa wanayempenda wao, baada ya muda watamletea vitimbi tu.

Nakushauri, funga na kuomba kama siku 3 au zaidi mlilie Mungu juu ya hilo. Naamini Mungu atakusaidia aidha unaweza kushirikisha watumishi wa Mungu ili wakusaidie kuomba

hii ni nimeipenda sana mungu ni mwaminifu japo kibinadamu inauma na ni ngumu kumeza.
 
pole sana sana kwa hali hiyo ndg yangu. Wanawake wa hivyo wapo na wanafanya hivyo kwa maslahi yao binafsi, kwa sababu hata ukimuoa wanayempenda wao, baada ya muda watamletea vitimbi tu.

Nakushauri, funga na kuomba kama siku 3 au zaidi mlilie Mungu juu ya hilo. Naamini Mungu atakusaidia aidha unaweza kushirikisha watumishi wa Mungu ili wakusaidie kuomba

Aine umesema vyema. Hili jambo lazima amshirikishe MUNGU maana si jambo la kawaida, kuna mambo mengi ya kuvunja hapo. Kristian wekeza kwenye maombi sana.
 
Pole Kristian.
Naungana na maoni mbalimbali ya wadau.
Kuanzia wale wanaokushauri kumwomba Mungu katika jambo hili gumu, kufunga na kuomba ikiwezekana washirikishe watumishi wa Mungu ili wakusaidia (umoja ni nguvu).
Pili, naungana na waliotoa wazo la kuifunga ndoa yako bomani (serikalini) kisha baadaye fuatia taratibu za kufunga ndoa yako kiimani. Hili ni muhimu ili kuwepo ushahidi wa kiserikali kwamba umeona. Kwa kuwa ninaloliona kwa ndugu zako akiwemo amma yako ni kutaka kukuvuruga na kukuharibia maisha. Tunaamini ndoa ni mpango wa Mungu, na Mungu akiifunga hakuna wakuifungua (ila kifo. hii ni kwa mujibu wa imani yangu). Kwa hiyo chukua hatua.
Tatu, kama umeshamuona mama ni mtata basi usimshirikishe katika mambo yako. Yafanye kimyakimya. Ulimjulisha kuwa umenunua kiwanja kwa nia njema tu kama ambavyo mtu yeyote angefanya kwa mzazi au mtu anayempenda. Lakini inaonesha mama hayuko katika upande huo wa furaha - fanya kimya kimya.
4. Mali zako za ofisini zimilikishe kwa mtu unayemtaka wewe na sio shinikizo la ndugu. Tena wanasheria wanayajua mambo haya kinagaubaga - bila shaka watakushauri. Ukishaandika wosia wako unaweza kuutunza benki au nasikia RITA pia wanatunza. Sina uhakika ila ni muhimu nyaraka zako muhimu uzihifadhi mahali salama. Kwa sababu umesema kuna siku walikuja nyumbani kwako na kufanya fujo....siku nyingine wataingia chumbani kwako na kufungua kabati nk ili kutafuta nyaraka na kuziharibu au kuzichakachau. kazitunze mahali salama.
Tano, usikubali kukaa kwenye nyumba zao. Kaa hukohuko kwako ambako umeamua kukaa. Wanataka kukupandia kichwani ndio maana wanakutaka ukae nao nyumba moja.
Sita, kipenda roho hula nyama mbichi. Umpendaye huyo ambatana naye hadi mwisho wa maisha yako usiyumbishwe na wazazi au ndugu. Wewe ndio umempenda huyo na ni wako sio wao.
Kila la heri, na Mungu akusaidie.
 
wewe mwenyewe ni sleki...hakuna ndugu hata mama yangu mzazi anayeweza kumpiga na au kumtukana mwanamke ninayempenda na kuthubutu hata kuvunja vitu vyangu nikamwachia, eti kwa kuogopa radhi ya mama. Kwani kwa kumpenda mwanamke laana ndiyo itakufuata? au mama yako anataka uoe dada yako?

Siku wakija kukufanyia fujo, kamata mmoja ukiwa na fimbo mtandike mpaka azirai, hawatarudia tena...unless hata wewe ni toto la mama.....besides laana ni ushirikina!! dont believe in it na hakuna kosa ulilolifanya hapo.
 
Habari zenu waheshimiwa,kwenye familia yangu kuna tatizo kubwa sana kati yangu na ndugu na kisa mafanikio yangu madogo wanataka kunitoa roho,kifupi kuna binti naishi naye nimezaa naye mtoto kwasasa ana umri wa miaka 4,ila kwetu uyu binti awampendi na ndio chanzo mpaka leo sijamuoa kwan mama yangu anasema nikiedelea kuishi na huyo binti ata nipa radhi na familia yangu ina msupport mama yng,kifupi kwamba mama yangu anaishi ulaya kwa muda mwingi mwaka 1998 aka nichukua kwenda kusoma nika fanikiwa nika maliza masomo uko,ila maisha ya ulaya na mm tofauti nikahamua kurudi bongo baada ya masomo 2008 na kuwekeza nina ofisini yng ina ningizia kipato na nimepanga kwangu naishi na yule msichana niliye zaa naye ila familia yangu inapiga. Mama yng ana nyumba mbili hapa mjini na ndug wengi waishi kwenye hizo nyumba kwa miaka mingi sasa wanasema kwann nipange na wakati nyumba za bure zipo,na kwakua mama yupo nje ya nchi miaka mingi aliniachia ni muangalizie kumchukulia kodi na kutumia,juzi karudi wame mjazaa maneno basi mwaka jana wakaja pale napo ishi waka nifanyia fujo wakavunja kila kitu cha ndani mpiga yule msichana wangu,wa kamtupa mtoto wng barabarani,nilivyo ona hivi nikachukua huamuzi wa kwenda polisi wakaja pale home waka wachukua ndug zng mpaka kituo cha polisi,waka muhoji mama anadai ataki nipange na ataka nirudi nyumbani la sivyo anachukua kila kitu changu,ndug waka anza rudi tu nyumbani uyu mama yako usi mdharau ila mm ni kabaki na msimamo wng sikurudi nyumbani na polisi wakasema warudishie kila kitu walicho chukua kwangu tatizo lina kuja wapi mama yangu ana roho mbaya sana kwa mfano nina kiwanja ataki niandike jina la mtoto wangu anaogopa yule mwanamke wng atachukua kila nacho fanya nisi muadikishe mtoto wng jamani hii haki kweli damu yng mwenye?? Wasi wasi wng upo kuna kesho naweza ni kawa sipo waka mzulumu mtoto wng haki yake je nifanyeje kuginga hizi mali zng???

Ili uishi vizuri na ndugu zako lazima uwasikilize kuna kitu huyo binti pengine wana siri nzito nyuma yake
 
Hivi kumbe kuna wakati wamama tunapoteza utu wetu kwa vitu visivyo na msingi eehh?? tuna tatizo gani wamama??

mi naongea kama mzazi kijana wangu namwona anataka aoe mwanamke asiye na staha ni mwache tu kwa vile mwanangu kampenda hii hapana jamani tuwe wa kweli
 
Na shukuru kwa ushauri wako ndug umenisaidia sana.
 
vitu vingine wala huitaji msaada wa kisheria. Unahitaji kusimama kama mwanaume. Kinachokushinda kwenda nae huyo ninti hata bomani mkafunga ndoa ni nini?

Kama wzliweza kumtupa mtoto wako barabarani ukiwa hai unadhani watashindwa kumtuma ukifa? Yaani muda huu ulipaswa uwe ushamuoa huyo binti hata harusi ya kimya kimya.....

Na muda huu ulipaswa uwe ushaandika mirathi...in case of anything mwanao ndo mrithi na mama mtoto ndo msimamizi...yeye ndo mwenye uchungu na mtoto na si hoa ndugu zako waliodiriki kumtupa barabarani.

Inaelekea mama yako na breadwinner wa familia. Ndugu zake wanamtegemea yeye ...familia zetu za kimasikini hizi zina shida sana...hapo lazima ndugu walete fitina si kwa ajili ya kujenga ila kuharibu. Na wanataka uhamie kwenye hizo nyumba ili shida zao za maisha ziwaishe...... Too bad mama yako kashikwa masikio


ila weweSimamam kama mwanaume fanya maamuzi magumu ishi vike unavyotaka na si watu wanavyotaka.
 
Back
Top Bottom