KRISTIAN P
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 352
- 57
- Thread starter
-
- #21
Nilienda kumwambia mama na kiwaja nime nunua nilijua labda ata furahi mwanae na jituma cha kwanza alicho niuliza umeandika jina la nan?? na akasema nasikia kwenye ofisi yako umeandika jina la mtoto wako wat this?? roho inauma sana nafikiria nichukue atua za kisheria wasije kuja nunialibia maisha alafu badae waka baki wana nicheka
Ndugu yangu una hasira mpaka Kiswahili huwezi kuandika
Labda ni saidie hapa tu Baba alikuwa Kabila gani
Na Mama ni Kabila gani maana kama ni Machagga huo ndio mtindo wao hasa km ni Mpalestina
Km ni Mhaya,Mpare, Mmarangu , Mhorombo atatulia baada ya kupiga mtoto wa pili maana huwa hawakubali Makabila ya nje
Km ni Mnyakyusa, Msukuma sasa hivi tu atampenda mke baada ya kumkalisha chini
Kama ni Mgogo wala hana maneno ndio atampenda kabisa
Ila nasisitiza km ni Mpalestina huta kaa uoe mke amkubali (samahani kwa dada zangu wa JF wanaotokea huko huo ndio ukweli vijana wanaumia wawekeni huru waoe)
TAFADHALI MAMA KABILA GANI NA BABA PIA?
hilo ni swali la msing sana na nimelipenda,sasa wewe kama mama anza kutoa jibu.Hivi kumbe kuna wakati wamama tunapoteza utu wetu kwa vitu visivyo na msingi eehh?? tuna tatizo gani wamama??
pole sana sana kwa hali hiyo ndg yangu. Wanawake wa hivyo wapo na wanafanya hivyo kwa maslahi yao binafsi, kwa sababu hata ukimuoa wanayempenda wao, baada ya muda watamletea vitimbi tu.
Nakushauri, funga na kuomba kama siku 3 au zaidi mlilie Mungu juu ya hilo. Naamini Mungu atakusaidia aidha unaweza kushirikisha watumishi wa Mungu ili wakusaidie kuomba
pole sana sana kwa hali hiyo ndg yangu. Wanawake wa hivyo wapo na wanafanya hivyo kwa maslahi yao binafsi, kwa sababu hata ukimuoa wanayempenda wao, baada ya muda watamletea vitimbi tu.
Nakushauri, funga na kuomba kama siku 3 au zaidi mlilie Mungu juu ya hilo. Naamini Mungu atakusaidia aidha unaweza kushirikisha watumishi wa Mungu ili wakusaidie kuomba
Habari zenu waheshimiwa,kwenye familia yangu kuna tatizo kubwa sana kati yangu na ndugu na kisa mafanikio yangu madogo wanataka kunitoa roho,kifupi kuna binti naishi naye nimezaa naye mtoto kwasasa ana umri wa miaka 4,ila kwetu uyu binti awampendi na ndio chanzo mpaka leo sijamuoa kwan mama yangu anasema nikiedelea kuishi na huyo binti ata nipa radhi na familia yangu ina msupport mama yng,kifupi kwamba mama yangu anaishi ulaya kwa muda mwingi mwaka 1998 aka nichukua kwenda kusoma nika fanikiwa nika maliza masomo uko,ila maisha ya ulaya na mm tofauti nikahamua kurudi bongo baada ya masomo 2008 na kuwekeza nina ofisini yng ina ningizia kipato na nimepanga kwangu naishi na yule msichana niliye zaa naye ila familia yangu inapiga. Mama yng ana nyumba mbili hapa mjini na ndug wengi waishi kwenye hizo nyumba kwa miaka mingi sasa wanasema kwann nipange na wakati nyumba za bure zipo,na kwakua mama yupo nje ya nchi miaka mingi aliniachia ni muangalizie kumchukulia kodi na kutumia,juzi karudi wame mjazaa maneno basi mwaka jana wakaja pale napo ishi waka nifanyia fujo wakavunja kila kitu cha ndani mpiga yule msichana wangu,wa kamtupa mtoto wng barabarani,nilivyo ona hivi nikachukua huamuzi wa kwenda polisi wakaja pale home waka wachukua ndug zng mpaka kituo cha polisi,waka muhoji mama anadai ataki nipange na ataka nirudi nyumbani la sivyo anachukua kila kitu changu,ndug waka anza rudi tu nyumbani uyu mama yako usi mdharau ila mm ni kabaki na msimamo wng sikurudi nyumbani na polisi wakasema warudishie kila kitu walicho chukua kwangu tatizo lina kuja wapi mama yangu ana roho mbaya sana kwa mfano nina kiwanja ataki niandike jina la mtoto wangu anaogopa yule mwanamke wng atachukua kila nacho fanya nisi muadikishe mtoto wng jamani hii haki kweli damu yng mwenye?? Wasi wasi wng upo kuna kesho naweza ni kawa sipo waka mzulumu mtoto wng haki yake je nifanyeje kuginga hizi mali zng???
Hivi kumbe kuna wakati wamama tunapoteza utu wetu kwa vitu visivyo na msingi eehh?? tuna tatizo gani wamama??
mi naongea kama mzazi kijana wangu namwona anataka aoe mwanamke asiye na staha ni mwache tu kwa vile mwanangu kampenda hii hapana jamani tuwe wa kweli
walewale.ovyo.