Famous Rappers With Their Mothers

Famous Rappers With Their Mothers

Tupac Shakur & Mum
Tupake alizaliwa 1974 akavuta 1996 ( kwa niaba ya wana JF wote,RIP )



1628791_tupac31_jpg14d0b58d913ffb9fbf6064824f2a5360
 
Nimeongeza picha zaidi za Tupac,sababu namkubali sana ( kwa niamba ya wana JF wote,RIP )

tupac+mom+afeni.jpg



Tupac-and-his-mother-afeni.jpg
 
Aisee,mama yake Omarion wa ukweli,
Hebu weka mama wa Trey Songz
 
mkuu viol ngoja nikuongezee picha zaidi Trey song na mama yake



 
Last edited by a moderator:
duh! Huyo mama wa trey song ni funiko Money Stunna umetisha
sasa mkuu naomba utupie ya Chris Brizy au Usher utanikosha zaid
 
Last edited by a moderator:
duh! Huyo mama wa trey song ni funiko Money Stunna umetisha
sasa mkuu naomba utupie ya Chris Brizy au Usher utanikosha zaid

Mama wa Trey Songz wa ukweli sana aisee,na huyo mama wa Omarion
 
Last edited by a moderator:
Na diamond basi nae hua ashapiga picha na mama yake au kwa sio rapaa
 
Bongo ni diomond tu anayethubutu kumwonyesha mama yake hadharani wengine wote wanaona aibu!.. yule dogo anafanikiwa kwa mengi
 
Kwa bongo domo tu ndo yuko busy na mama ake na Profesa Jay pia alikuwa anamuinyesha mama ake R.I.P wengine wamewaacha wazazi wao huko Sitimbi wala hawana time nao
 
Watoto wa kiume wanapatana sana na mama zao...
 
Back
Top Bottom