Famous Rappers With Their Mothers

Famous Rappers With Their Mothers

IMG_0090.JPG

Diamond with his mum

Samahani lakini, hivi D'mond ni rapper?
 
Asilimia kubwa ya wamarekani hasa weusi wanakulia maisha ya mzazi mmoja ambaye mara nyingi ni mama,na wadada wengi wanabeba mimba wakiwa wadogo sana ndio sababu hao jamaa wameringana ringana umri na mama zao!

Source: Eric Shibangi, Oparesheni comment kila topic (OCKT)
 
Hiyo ni kweli kabisa pia ukimchukua binti wa miaka 16 marekani ni sawa na binti wa miaka 28 wa Africa ( Tanzania)
 
Duuh mama zao Diddy, Omarion na Trey Songz ni hatareeeeeee

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom