aneth joseph
Senior Member
- Apr 22, 2016
- 135
- 89
Yaan......vinajadiliwa vingine ye anaingiza vingineUmekuja kivingine
Kweli kabisa.Yaani ukimrewind Kalapina miaka 10 huwezi amini Leo ndo anaonekana wa maana kuliko wasanii wengi, kweli life changes
Clouds FM ni jipu lisipotumbuliwa litaleta madhara makubwa daz baba mbona hawampeleki na dullayo nae ndo anakoelekea stress za music zinawaumiza Sana hawa wasanii
Acha kujifanya kipofu au ni kiziwi wale jamaa wanajifanya mungu MTUClouds Fm wanaingiaje hapa?
Ludigo nae anakula unga?Prof Ludigo nae wamuwahi before it's too late.
Prof Ludigo nae kitambo Sana anakula unga...duu pole Yao.Ludigo nae anakula unga?
Utajua mwenyewe!Wanapaswa kuanzisha project kama ya kalapina sio wanapiga hela wanapita hivi!Clouds Fm wanaingiaje hapa?
Dah! wabongo bhana kwani hamna media nyingine?Acha kujifanya kipofu au ni kiziwi wale jamaa wanajifanya mungu MTU
Ni huyo wa kike. teh teh tehTerry fanani ndo yupi sasa hapo?
If possible, umri wake wote uliobakia hapa duniani?Huyu alianza kula madawa miaka 20 iliyopita. Anahitaji kukaa sober kwa muda mrefu zaidi.
Teja unataka ajaliweje zaidi ya kumpeleka huko hospital?Terry aliacha madawa muda Mrefu na alikuwa muumini pale kwa kakobe sijajua karudia madawa au ni kiki
All in all goodluck
Mnaosema jay anamjali hamjui mnachosema tery anakuwa maskani kigogo mwisho Mara nyingi anadaka kutoka kwa makonda Wa daladala