Fanani wa Hard Blasters apelekwa Sober House Bagamoyo

Fanani wa Hard Blasters apelekwa Sober House Bagamoyo

Clouds FM ni jipu lisipotumbuliwa litaleta madhara makubwa daz baba mbona hawampeleki na dullayo nae ndo anakoelekea stress za music zinawaumiza Sana hawa wasanii

dullayo tena
 
Watu wanaomlaumu Jay kwasababu ya Fanani hawajui kitu. Kwasababu Terry Fanani kaanza Kula mambo tangu huyo Jay mwenyewe anapiga show za buku kumi. Sasa Leo mkidai hamjali Ni ushambenga Tu, namfahamu Terry Ni mtu poa lakini maisha aliyoyachagua haiwezekani wapewe watu wengine lawama.
 
mvua hainyeshi kwasababu ya clouds, sukari imepotea kwasababu ya clouds, ajali zimezidi kwasababu ya clouds, maisha magumu kwasababu ya clouds.
kwakweli hawa clouds wamezidi
 
Inasemekana sababu mojawapo ya Jay kutoka HBC ni baada ya kuona majamaa hawaeleweki wanapenda bange kuliko kazi akaamua ajitoe
 
Wanaopelekwa Sober ni wasanii pekee ama na makanjanja wengine wanapelekwa?
 
Terry aliacha madawa muda Mrefu na alikuwa muumini pale kwa kakobe sijajua karudia madawa au ni kiki
All in all goodluck
Mnaosema jay anamjali hamjui mnachosema tery anakuwa maskani kigogo mwisho Mara nyingi anadaka kutoka kwa makonda Wa daladala
Teja unataka ajaliweje zaidi ya kumpeleka huko hospital?

Teja mpe kila kitu hajali atauza tena bei rahisi na ataenda kubwia unga, usiongee wewe.
 
Back
Top Bottom