Fananisha Kikao cha Mawaziri cha Kenya na cha Tanzania, tuna cha kujifunza

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Najaribu kauangalia kikao cha mawaziri cha Kenya naona wako very profesional, tunakwama wapi kikao cha Mwaziri Tanzania utazania kikao cha kupitisha tenda? Au ni wanapitisha tenda za Waarabu walio tenda juu zaidi kununua nchi?



Hii ni kikao cha Mwaziri Dodoma.


Hapa ni Nairobi kikao cha Mawaziri.

Hii ni kama wanapitisha tenda za kuuza nchi.

 
Kuhusu chupa za maji, glass waste ni tatizo zaid kuliko plastic waste! Plastic waste zimewapa ajira vijana wangi sana ambao wangekuwa vibaka leo!
Kuhusu glass waste nakushauri fika kwenye yard ya Serengeti, au TBL au pale Kioo limited ukajionee mlima wa vyupa!
 
Hizi zinajazwa maji ni kama chupa za soda,
 
usha ona chupa za Soda cocacola au pepsi zinachafua mazingira au chupa za Bia?
 
Hayo maji wanayotumia wabunge wa kEnya nakumbuka this nilikua huko moja ya maji mazuri sana taste yake na bei yake yamechangamka chupa moja ni 5000 km siosei iyo lota moja
 
Uzi kaandika mwingine lakini aibu naona mimi namna bongo za baadhi ya watu zinavyoshindwa kuchambua na kuchanganua mambo makubwa. kweli kikao kinaanzishiwa uzi, nchi yangu inahitaji uponyaji kwa baadhi ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…