Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
HawaaminianiMaji ya kunywa ya chupa za Plastic yameisha pitwa na wakati kwa levo za viongozi wa juu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HawaaminianiMaji ya kunywa ya chupa za Plastic yameisha pitwa na wakati kwa levo za viongozi wa juu,
Umeona wakila ?La Kenya limepambwa na sura ya ukabila na ukanda, na ukiwatazama vizuri mawaziri ni kama vile hawana uhakika wala tumaini la kuwepo ofisini kesho. Hawana nuru, hawana amani dah 🐒
La Tanzania.
kwanza lina nuru, Lakini pia unaona kabisa umoja wa mawaziri wenye amani na kuaminiana. Korosho na peremende wanashea n.k
Kenya hawashare vitu kama hivyo kwasabb unaweza wekewa cocaine au sumu.Hakuna wa kumuamini mwingine.🐒
Na wewe huo Uzi unaokupa aibu unakuja kucoment TenaUzi kaandika mwingine lakini aibu naona mimi namna bongo za baadhi ya watu zinavyoshindwa kuchambua na kuchanganua mambo makubwa. kweli kikao kinaanzishiwa uzi, nchi yangu inahitaji uponyaji kwa baadhi ya watu
Kila mtu kaona la kwake.Baraza la mawaziri la Tanzania huwa haliko serious. Huwezi kujaza misosi kwenye meza wakati wa kujadili mambo serious.
wana long smile tu aiseeeeeee dah hebu check kwanza 🐒Umeona wakila ?
Poison Masters mnatahamika mbona.
Hao mawaziri wa kenya kila mmoja anamiliki chopa hapo,matajiri kupindukia kwa pesa wanazowaibia wakenya,nyie danganyikeni na siasa za show off za kenya,hakuna wanasiasa wezi kuwazidi wanasiasa wa kenyaNajaribu kauangalia kikao cha mawaziri cha Kenya naona wako very profesional, tunakwama wapi kikao cha Mwaziri Tanzania utazania kikao cha kupitisha tenda? Au ni wanapitisha tenda za Waarabu walio tenda juu zaidi kununua nchi?
View attachment 3120776
Hii ni kikao cha Mwaziri Dodoma.
View attachment 3120788
Hapa ni Nairobi kikao cha Mawazori.
View attachment 3120793
Hii ni kama wanapitisha tenda za kuuza nchi.
View attachment 3120800
Sasa hapo unajaribu kueleza nini kwa hizi picha. Sijaelewa kitu. Kama ni ufisadi hao Kenya mbona wanatuzidi sana.Najaribu kauangalia kikao cha mawaziri cha Kenya naona wako very profesional, tunakwama wapi kikao cha Mwaziri Tanzania utazania kikao cha kupitisha tenda? Au ni wanapitisha tenda za Waarabu walio tenda juu zaidi kununua nchi?
View attachment 3120776
Hii ni kikao cha Mwaziri Dodoma.
View attachment 3120788
Hapa ni Nairobi kikao cha Mawazori.
View attachment 3120793
Hii ni kama wanapitisha tenda za kuuza nchi.
View attachment 3120800
Hapo Kenya naona vifaa vya kazi vimetawala mezani wakati hapo Mtumba ni vyakula na takataka nyingi.Najaribu kauangalia kikao cha mawaziri cha Kenya naona wako very profesional, tunakwama wapi kikao cha Mwaziri Tanzania utazania kikao cha kupitisha tenda? Au ni wanapitisha tenda za Waarabu walio tenda juu zaidi kununua nchi?
View attachment 3120776
Hii ni kikao cha Mwaziri Dodoma.
View attachment 3120788
Hapa ni Nairobi kikao cha Mawazori.
View attachment 3120793
Hii ni kama wanapitisha tenda za kuuza nchi.
View attachment 3120800
Ngoja niwasaidie, pamoja na kwamba kwa hali halisi wewe upo sahihi.Maji ya kunywa ya chupa za Plastic yameisha pitwa na wakati kwa levo za viongozi wa juu, na hapo kuna Chawa huwa wanasema mama ana advocate mazingira Huweiz ukawa unapigani mazingira huku Bado unatumia maji ya chupa za plastic zinazo chafua mazingira.
Na ukisha kuwa "CHAWA" inakuwaje hasa!Kweli ukishakuwa nyumbu utabaki kuwa nyumbu tu.
🤣 🤣 🤣Bahati nzuri wote wanajadili namna ya kula kwa urefu wa kamba, walichotuzidi wakenya hapo ni kuwa maazimio yao na mjadala wao vyote vitakuwa katika lugha ya kiingereza
🤣 🤣 🤣ukicheki la Kenya dah hadi huruma aise, kuanzia moenekano bana ni ukabila tupu, mawaziri wamejawa hofu, wasiwasi na hofu ya kubanduliwa kikabila at any given time maskini ya Mungu..
Ni wanyonge wasioaminiana kabisa kwa chuki, uhasama, uadui na wivu wa kikabila na ukanda, kila moja kichwani akinungunika mbona waluya wengi kuliko wakalenjini n.k.
Na kwasabb ya kutokuaminiana, hakuna cha korosho wala peremende mezani, ni mwendo wa kunuka mdomo mwanzo mwisho na maji madogo tu, aisee 🐒
Check la Tanzania sasa,
unaona kabisa there is hope and prosperous future plans kwaajili ya waTanzania inaendelea. Mawaziri wamekaa kama familia moja, wanapendana na kuaminiana, wanashare mawazo hadi korosho mezani na peremende kwa amani na uhakika kabisaa dah..🐒
Mungu Ibariki Tanzania
🤣 🤣 🤣La Kenya limepambwa na sura ya ukabila na ukanda, na ukiwatazama vizuri mawaziri ni kama vile hawana uhakika wala tumaini la kuwepo ofisini kesho. Hawana nuru, hawana amani dah 🐒
La Tanzania.
kwanza lina nuru, Lakini pia unaona kabisa umoja wa mawaziri wenye amani na kuaminiana. Korosho na peremende wanashea n.k
Kenya hawashare vitu kama hivyo kwasabb unaweza wekewa cocaine au sumu.Hakuna wa kumuamini mwingine.🐒
Sasa hapa kwetu hivi Jenista anaweza kutumia computer yule? Ona kama waziri wa ulinza Dr Tax anashindwa hata kutazama kwa kutumia darubini hadi anaigeuza na Hashangai kuwa haoni!Mkuu kwa hiyo kilichokukosha wewe ni kuona mawaziri wa Kenya wakitumia computer/Tablets?