Fananisha Kikao cha Mawaziri cha Kenya na cha Tanzania, tuna cha kujifunza

Fananisha Kikao cha Mawaziri cha Kenya na cha Tanzania, tuna cha kujifunza

Najaribu kauangalia kikao cha mawaziri cha Kenya naona wako very profesional, tunakwama wapi kikao cha Mwaziri Tanzania utazania kikao cha kupitisha tenda? Au ni wanapitisha tenda za Waarabu walio tenda juu zaidi kununua nchi?

View attachment 3120776

Hii ni kikao cha Mwaziri Dodoma.
View attachment 3120788

Hapa ni Nairobi kikao cha Mawaziri.
View attachment 3120793
Hii ni kama wanapitisha tenda za kuuza nchi.

View attachment 3120800
Mkuu ukitaka kujua Tanzania tuko vizuri kuliko wao angalia Suala la DP World lilivyojadiliwa Tanzania na Suala la Umilikishwaji wa Kenyata Airport ndo utajua akina nani nani angalau wana uafadhali
 
Yaani mtu ukishakuwa chawa ni kusifia tuu mav. ya boss wako unayaita keki hahahhaa
Namshukuru Mungu siishi kwa kudra za mtu, naishi kwa jasho langu mwenyewe...pambana sana mkuu!!.
Acha upotoshaji na kufuru gentleman,
unaishi kwa Neema na Baraka za Mungu na si vinginevyo tafadhali...

Pokea hiyo Long smile ya Rais na Makamu wake bila makasiriko wala unyumbu gentleman 🤣
 

Attachments

  • IMG-20241010-WA0020.jpg
    IMG-20241010-WA0020.jpg
    259.7 KB · Views: 1
Na ukisha kuwa "CHAWA" inakuwaje hasa!

Sasa sijui kati ya "nyumbu" na "chawa" ahueni ipo wapi hasa!

Siku nyingine lizungumzie hilo.
Sawa, 'siku nyingine', Leo acha tuendelee kushahgaa ubrainless wa nyumbu kwanza.
 
Najaribu kauangalia kikao cha mawaziri cha Kenya naona wako very profesional, tunakwama wapi kikao cha Mwaziri Tanzania utazania kikao cha kupitisha tenda? Au ni wanapitisha tenda za Waarabu walio tenda juu zaidi kununua nchi?

View attachment 3120776

Hii ni kikao cha Mwaziri Dodoma.
View attachment 3120788

Hapa ni Nairobi kikao cha Mawaziri.
View attachment 3120793
Hii ni kama wanapitisha tenda za kuuza nchi.

View attachment 3120800

Hawa wa Chura Kiziwi naona meza zao zimechafuka na sahani za pilau, karanga, pipi, big - G na nyama za kukaanga tu...

Sasa hawa si watajaza matumbo na kisha kuvimbiwa na kuishia kujambajamba tu na kulala usingizi badala ya kuwa na akili fresh ili kutafakari mambo ya nchi...
 
Baraza la mawaziri la Tanzania huwa haliko serious. Huwezi kujaza misosi kwenye meza wakati wa kujadili mambo serious.
Yan mamisosi tu as if wametoka kwenye nyumba zao pasipo kula
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Back
Top Bottom