Fananisha Kikao cha Mawaziri cha Kenya na cha Tanzania, tuna cha kujifunza

Umeona wakila ?
Poison Masters mnatahamika mbona.
 
Uzi kaandika mwingine lakini aibu naona mimi namna bongo za baadhi ya watu zinavyoshindwa kuchambua na kuchanganua mambo makubwa. kweli kikao kinaanzishiwa uzi, nchi yangu inahitaji uponyaji kwa baadhi ya watu
Na wewe huo Uzi unaokupa aibu unakuja kucoment Tena
kweli uponyaji inabidi uanze na wewe
 
Baraza la mawaziri la Tanzania huwa haliko serious. Huwezi kujaza misosi kwenye meza wakati wa kujadili mambo serious.
Kila mtu kaona la kwake.

Huyu kaona misosi.

Mwingine kaona tablet.

Ilimradi tu haki ya kutoa maoni inazingatiwa.
 
Hao mawaziri wa kenya kila mmoja anamiliki chopa hapo,matajiri kupindukia kwa pesa wanazowaibia wakenya,nyie danganyikeni na siasa za show off za kenya,hakuna wanasiasa wezi kuwazidi wanasiasa wa kenya
 
Sasa hapo unajaribu kueleza nini kwa hizi picha. Sijaelewa kitu. Kama ni ufisadi hao Kenya mbona wanatuzidi sana.
 
Hapo Kenya naona vifaa vya kazi vimetawala mezani wakati hapo Mtumba ni vyakula na takataka nyingi.
 
Ngoja niwasaidie, pamoja na kwamba kwa hali halisi wewe upo sahihi.

Kwani unajua vipi kwamba pengine Adul tayari anayo fursa ya ku're-cycle' hizo chupa mkuu!

Wewe unaona kutumia plastiki ni kupitwa na wakati, kweli?

Kwa ulimwengu wa leo huwezi kuepuka plastiki katika maisha yako.
 
Nimesoma comments nyingi + mada ila bado sijaona tatizo kwenye hizo picha za Tanzania, naomba kupewa kusudio la mada hii
 
Bahati nzuri wote wanajadili namna ya kula kwa urefu wa kamba, walichotuzidi wakenya hapo ni kuwa maazimio yao na mjadala wao vyote vitakuwa katika lugha ya kiingereza
🀣 🀣 🀣
 
🀣 🀣 🀣
 
🀣 🀣 🀣
 
Mkuu kwa hiyo kilichokukosha wewe ni kuona mawaziri wa Kenya wakitumia computer/Tablets?
Sasa hapa kwetu hivi Jenista anaweza kutumia computer yule? Ona kama waziri wa ulinza Dr Tax anashindwa hata kutazama kwa kutumia darubini hadi anaigeuza na Hashangai kuwa haoni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…