Fananisha Kikao cha Mawaziri cha Kenya na cha Tanzania, tuna cha kujifunza

Yaani mtu ukishakuwa chawa ni kusifia tuu mav. ya boss wako unayaita keki hahahhaa
Namshukuru Mungu siishi kwa kudra za mtu, naishi kwa jasho langu mwenyewe...pambana sana mkuu!!.
 
usha ona chupa za Soda cocacola au pepsi zinachafua mazingira au chupa za Bia?
Huko uliko vinywaji vinavyopatikana ni Pepsi, coca-cola na bia tu kwani hujui kuwa sikuizi Chupa za plastic ni more friendly Kwa mazingira Kwasababu zinakuwa recycled?
 
Mazingira ya mezani inasema mengi.. Usiriasi na sio usirasi.. Marundikano hata energy ya mengi hapo lazima.

Na kiteknolojia ipo vizuri sababu ina faida nyingi na kubwaaa..
 
Baraza la mawaziri la Tanzania huwa haliko serious. Huwezi kujaza misosi kwenye meza wakati wa kujadili mambo serious.
Halafu lina watu wengi sana, wakati bajeti yetu iko chini kulinganisha ya Kenya.
 
Kenya wametawaliwa na muingereza na waakaachiwa akili za ki-ingereza.
Nyie mmeachiwa mseto, mwarabu, mjerumani na muingereza, tena muingereza ameacha akili zake huko Arusha na Kilimanjaro huku mwarabu akiwaachia akili huko mwambao , tabora na kigoma.
 
Baraza la mawaziri Tz limejaa vitu vya kutafuna tafuna tu (ukiondoa kutafuna kodi zetu) hata hali ya hewa hapo itakuwa ni chafu!!.
Tumbo ndio linaponza kila kitu, na hapo unakuyta nusu yao wana kisukari na preshaa.
 
Kuna mmoja juzi Yuko amekazana na mambo ya nishati safi kwenye kikao Fulani Ili aonekane wakati ana semi truck za kubeba mkaa nilicheka tulivyotoka kwenye kikao Yuko anasema pale nilikuwa nachangamsha tu
 
Kuna mmoja juzi Yuko amekazana na mambo ya nishati safi kwenye kikao Fulani Ili aonekane wakati ana semi truck za kubeba mkaa nilicheka tulivyotoka kwenye kikao Yuko anasema pale nilikuwa nachangamsha tu
 
HAO MAWAZIRI WA TANZANIA UKIWAONA HSPO UTADHANI VICHWANI WANA KITU KUMBE NI MAZWAZWA WANAMKATIBIA BOSI WAO
 
Kenya inaelekea viwango vya ulaya kwa maendeleo na ustawi wa binadamu pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…