MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Hamia KenyaMachawa mnajiona nchi ni yenu, kumbe ni ya wote.
Mnajiona 20,000 mnazopewa zitadumu , kumbe zina mwisho.
Mnavaa kaunda suti na vibendera vya taifa mkijiona wazalendo kumbe ni MASADUKAYO.
Hamia KenyaTunataka Uraia pacha
Mkuu ukitaka kujua Tanzania tuko vizuri kuliko wao angalia Suala la DP World lilivyojadiliwa Tanzania na Suala la Umilikishwaji wa Kenyata Airport ndo utajua akina nani nani angalau wana uafadhaliNajaribu kauangalia kikao cha mawaziri cha Kenya naona wako very profesional, tunakwama wapi kikao cha Mwaziri Tanzania utazania kikao cha kupitisha tenda? Au ni wanapitisha tenda za Waarabu walio tenda juu zaidi kununua nchi?
View attachment 3120776
Hii ni kikao cha Mwaziri Dodoma.
View attachment 3120788
Hapa ni Nairobi kikao cha Mawaziri.
View attachment 3120793
Hii ni kama wanapitisha tenda za kuuza nchi.
View attachment 3120800
Na kujitafutia vipato kwa nguvu na akili zao.Kenya hakuna chawa wala kuishi kwa ndoto za Rais wanaishi kwa Katiba na sheria
Acha upotoshaji na kufuru gentleman,Yaani mtu ukishakuwa chawa ni kusifia tuu mav. ya boss wako unayaita keki hahahhaa
Namshukuru Mungu siishi kwa kudra za mtu, naishi kwa jasho langu mwenyewe...pambana sana mkuu!!.
Sawa, 'siku nyingine', Leo acha tuendelee kushahgaa ubrainless wa nyumbu kwanza.Na ukisha kuwa "CHAWA" inakuwaje hasa!
Sasa sijui kati ya "nyumbu" na "chawa" ahueni ipo wapi hasa!
Siku nyingine lizungumzie hilo.
Huku sifa ni kuiba pekeeNa kujitafutia vipato kwa nguvu na akili zao.
Contempt...body language expert atatafuta combination ya misuli ya uso kuona Kama iko connected ...fake smile ileee.wana long smile tu aiseeeeeee dah hebu check kwanza 🐒
Wanajadili namna kuuza mikumi national parkHicho ni kikao cha harusi
Najaribu kauangalia kikao cha mawaziri cha Kenya naona wako very profesional, tunakwama wapi kikao cha Mwaziri Tanzania utazania kikao cha kupitisha tenda? Au ni wanapitisha tenda za Waarabu walio tenda juu zaidi kununua nchi?
View attachment 3120776
Hii ni kikao cha Mwaziri Dodoma.
View attachment 3120788
Hapa ni Nairobi kikao cha Mawaziri.
View attachment 3120793
Hii ni kama wanapitisha tenda za kuuza nchi.
View attachment 3120800
Yan mamisosi tu as if wametoka kwenye nyumba zao pasipo kulaBaraza la mawaziri la Tanzania huwa haliko serious. Huwezi kujaza misosi kwenye meza wakati wa kujadili mambo serious.
naona una smile dah,Contempt...body language expert atatafuta combination ya misuli ya uso kuona Kama iko connected ...fake smile ileee.
Nusu kucheka nusu kununa == Dharau.naona una smile dah,
thank you for your long smile gentleman
umenifurahisha sana dah 🤓Nusu kucheka nusu kununa == Dharau.