Fangasi kwenye Korodani

Fangasi kwenye Korodani

Vuzi nanyoa. Sema kuna msemo wa watu kwamba vuzi hupendezesha uchi kuna kipindi nikajikuta ni muumini wa kufuga vuzi. Km naenda job nachana kwa kitana kidogo nywele za kichwa na vuzi
Aiseee🙌🤣
 
Kama title ya thread ilivyo hapo juu.

Naomba kwa anayefahamu dawa ya fangasi kando kando ya pumbu (korodani) zinakolalia (mapajani) zinasumbua sana sana Kwakweli.

Anaye fahamu dawa naomba maelekezo tu jamani.
ngoja na mie nipate ushauri hapa maana naona pumbu zangu zinakauka sana na kutoa vumbi vumbi
 
Weka picha kabla hujapata tiba,na baada ya tiba utaleta nyingine tuone tofauti.
ili mcheke kibamia changu hahaha.
wewe nilishaelza hapo kuwa pumbu zinapauka na kutoa vumbi vumbi plus vuzi linaota mvii bwana
 
alafu majameni naomba niulize hivi ile magic shaving powder unaweza tumia kunyolea mavuzi ya pumbu maana kila nikinyoa na nyembe lazima nijikate scrotum
 
Back
Top Bottom