Fangasi sugu za Miguu zilizokata dawa kabisa

Fangasi sugu za Miguu zilizokata dawa kabisa

Ubungo Mataa

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2018
Posts
411
Reaction score
725
Fungasi za kwenye unyayo, pembezoni mwa miguu na kwenye vidole. Nimewah kujaribu tiba kadhaa na powder bila mafanikio yoyote. Mwenye utaalam na hili tatizo naomba msaada.
IMG_20220807_165627_357.jpg
 
Kuna vidonge vimeandikwa (flugen)na ya tube imeandikwa (triodem) ukitumia vyote doze moja unapona kabisa,
Mimi ilinisumbua miaka 5 nikivaa buti kesho yake miguu inalenga lenga maji lakini jilipokuja pata hiyo saa hivi mavaa buti hadi wiki bila kuivua na niko fresh
NGja nijarbu hii maana m nkivaa sendoz tu miguu inanuka🤣🤣
 
Jaribu kupaka mkojo wa sungura mkuu. Kuna mtu naona ana fangas miguuni umemsaidia sana
 
Kuna mtu alitoa ushuhuda humu yeye anasema alipona kwa vitunguu swaumu
 
Fungasi za kwenye unyayo,pembezoni mwa miguu na kwenye vidole.. Nimewah kujaribu tiba kadhaa na powder bila mafanikio yoyote. Mwenye utaalam na hili tatizo naomba msaada
Niliambiwa na Mtawa mmoja (sista) dawa ya hilo tatizo ni chumvi tu. Lowanisha miguu na maji kisha nyunyizia chumvi laini maeneo yenye fangasi x 2 kutwa mpaka uone mabadiliko.
 
NGja nijarbu hii maana m nkivaa sendoz tu miguu inanuka[emoji1787][emoji1787]
Kitu Cha kwanza , acha kuvaa viatu vya wazi .
pili, vaa sockis nzito Tena za Dukani.
Hakikisha hurudii sockis kabla hazijafuliwa.

Tatu:Viatu vaa vyangozi , hizi ngozi nyepesi wanaziita mabegi Kaa Nazo mbali kwamda.

4;Kabla yakuvaa viatu hakikisha miguu Yako nimikavu na itapendeza ukitumia powder japo gharama yake imechangamka. Ziko za aina nyingi , kama utaweza tumia (mayicota ) ukishindwa tumia clotrimazole.

Kuhusu Dawa za kumezaunona na Dakota.
 
Back
Top Bottom