Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na dawa za hospitali, wewe kojolea ule mkojo wa asubuhi siku mbili tatu utapona kabisa.Fungasi za kwenye unyayo,pembezoni mwa miguu na kwenye vidole.. Nimewah kujaribu tiba kadhaa na powder bila mafanikio yoyote. Mwenye utaalam na hili tatizo naomba msaada
Haina noma mzee babu
Shukrani sana mkuu ntajarbu na hii piaKitu Cha kwanza , acha kuvaa viatu vya wazi .
pili, vaa sockis nzito Tena za Dukani.
Hakikisha hurudii sockis kabla hazijafuliwa.
Tatu:Viatu vaa vyangozi , hizi ngozi nyepesi wanaziita mabegi Kaa Nazo mbali kwamda.
4;Kabla yakuvaa viatu hakikisha miguu Yako nimikavu na itapendeza ukitumia powder japo gharama yake imechangamka. Ziko za aina nyingi , kama utaweza tumia (mayicota ) ukishindwa tumia clotrimazole.
Kuhusu Dawa za kumezaunona na Dakota.