Ubungo Mataa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2018
- 411
- 725
NGja nijarbu hii maana m nkivaa sendoz tu miguu inanuka🤣🤣Kuna vidonge vimeandikwa (flugen)na ya tube imeandikwa (triodem) ukitumia vyote doze moja unapona kabisa,
Mimi ilinisumbua miaka 5 nikivaa buti kesho yake miguu inalenga lenga maji lakini jilipokuja pata hiyo saa hivi mavaa buti hadi wiki bila kuivua na niko fresh
NGja nijarbu hii maana m nkivaa sendoz tu miguu inanuka[emoji1787][emoji1787]
Bei yake inasimamaje mzeeDaa pole sana kanunue ni nzuri sana utapona
Bei yake inasimamaje mzee
Haina noma mzee babuZote ni 10000
Totoo uko pouwa?Pole..fanya kama walivokuelekeza wajuzi hapo juu
Niko poa sana totoo!Totoo uko pouwa?
Kuja basiNiko poa sana totoo!
Nikuje wapi tena??😉😉Kuja basi
Niliambiwa na Mtawa mmoja (sista) dawa ya hilo tatizo ni chumvi tu. Lowanisha miguu na maji kisha nyunyizia chumvi laini maeneo yenye fangasi x 2 kutwa mpaka uone mabadiliko.Fungasi za kwenye unyayo,pembezoni mwa miguu na kwenye vidole.. Nimewah kujaribu tiba kadhaa na powder bila mafanikio yoyote. Mwenye utaalam na hili tatizo naomba msaada
Kitu Cha kwanza , acha kuvaa viatu vya wazi .NGja nijarbu hii maana m nkivaa sendoz tu miguu inanuka[emoji1787][emoji1787]