Kitu Cha kwanza , acha kuvaa viatu vya wazi .
pili, vaa sockis nzito Tena za Dukani.
Hakikisha hurudii sockis kabla hazijafuliwa.
Tatu:Viatu vaa vyangozi , hizi ngozi nyepesi wanaziita mabegi Kaa Nazo mbali kwamda.
4;Kabla yakuvaa viatu hakikisha miguu Yako nimikavu na itapendeza ukitumia powder japo gharama yake imechangamka. Ziko za aina nyingi , kama utaweza tumia (mayicota ) ukishindwa tumia clotrimazole.
Kuhusu Dawa za kumezaunona na Dakota.