chloe.obrain
JF-Expert Member
- Feb 25, 2010
- 391
- 21
Habari wadau,
Naomba kufahamishwa kuhusu huu ugonjwa, unatokana na nini dalili zake n.k
Kuna my friend kafariki juzi (R.I.P buddy) alkwenda hsptl akaambiwa ana fangasi ya ubongo coz alikuwa anaumwa kichwa sana, ila walimwambia ameiwahi na angepona lakini haikuwa hivyo.
Marehemu alikuwa mpenzi wa kuzama uvinza? samahani lakini, uchunguzi wangu nataka uanzie hapo
I don't know Fidel80, ni mdada hata hivyo, may be alikuwa anapenda kulamba koni.:becky:
Ngoja tuashumu marehemu alikuwa analamba koni alafu akawa anashuka mpaka uvunguni kwenye uvundo kuanzia usawa wa kengere mpaka uvunguni kule
ndo kisababishi cha huo ugonjwa au? mmhh!!!
Fungus ya Ubongo ina uhusiano Mkubwa sana na lile gonjwa letu Hatari.ndo kisababishi cha huo ugonjwa au? mmhh!!!
Habari wadau,
Naomba kufahamishwa kuhusu huu ugonjwa, unatokana na nini dalili zake n.k
Kuna my friend kafariki juzi (R.I.P buddy) alkwenda hsptl akaambiwa ana fangasi ya ubongo coz alikuwa anaumwa kichwa sana, ila walimwambia ameiwahi na angepona lakini haikuwa hivyo.
Marehemu alikuwa mpenzi wa kuzama uvinza? samahani lakini, uchunguzi wangu nataka uanzie hapo
Hapo angepata za mdomoni ama kwenye ulimi. Na sio fungus per ce. Hebu chimba chumvi usilete uvivu hapa!.
Nilisikia hii habari msibani watu wakiongea pembeni, yawezekana kuna kaukweli.
Kaka, hata siku moja usiskilize hadithi za msibani. Kuna waongo, wazandiki, wanafiki, much know, wachafuaji, mashankupe na mashakunaku! Wengine mtu kaugua hadi kafa hajawahi kuenda msalimia, akifika msibani anahadithia hadi stori za marehemu akiwa praimare ilhali marehemu kampita 20 yrs!
Hapo angepata za mdomoni ama kwenye ulimi. Na sio fungus per ce. Hebu chimba chumvi usilete uvivu hapa!.