Fangasi ya Ubongo

Fangasi ya Ubongo

chloe.obrain

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2010
Posts
391
Reaction score
21
Habari wadau,

Naomba kufahamishwa kuhusu huu ugonjwa, unatokana na nini dalili zake n.k
Kuna my friend kafariki juzi (R.I.P buddy) alkwenda hsptl akaambiwa ana fangasi ya ubongo coz alikuwa anaumwa kichwa sana, ila walimwambia ameiwahi na angepona lakini haikuwa hivyo.
 
Marehemu alikuwa mpenzi wa kuzama uvinza? samahani lakini, uchunguzi wangu nataka uanzie hapo
 
I don't know Fidel80, ni mdada hata hivyo, may be alikuwa anapenda kulamba koni.:becky:

Ngoja tuashumu marehemu alikuwa analamba koni alafu akawa anashuka mpaka uvunguni kwenye uvundo kuanzia usawa wa kengere mpaka uvunguni kule
 
ndo kisababishi cha huo ugonjwa au? mmhh!!!

[h=1]What Is a Fungus on the Human Brain?[/h]

  • [h=2]Risks[/h]
    • If you have uncontrolled diabetes, HIV, leukemia or lymphoma or have recently undergone an organ transplant, you are at an increased risk for mucormycosis. Additionally, long-term use of corticosteroids also increases your vulnerability to the infection, according to the U.S. National Library of Medicine.

    [h=2]Causes[/h]
    • Mucorales is often found in the air, and if you are susceptible to mucormycosis, spores can cause an infection in many parts of your body. Most commonly, these infections occur in your sinuses, where they quickly spread to your brain.

    [h=2]Symptoms[/h]
    • Symptoms of mucormycosis affecting your brain include sinus pressure or congestion, a pus-like nasal discharge, fever, convulsions, redness on your cheeks above where your sinuses are located and eye swelling and protrusion.

    [h=2]Effects[/h]
    • Untreated in your brain, mucormycosis has the potential to destroy the tissues of your nose and soft palette as well as to cause permanent blindness or paralysis, blood clots, coma and even death, according to the Merck Medical Manual.

    [h=2]Treatment[/h]
    • Doctors usually remove infected tissues with surgery, which can cause facial disfigurement and brain damage if the fungus is widespread. Intravenous antifungal medication is also used to destroy spores that cannot be removed with surgery.

Fungus ya Ubongo ina uhusiano Mkubwa sana na lile gonjwa letu Hatari.

Nisifanye kujuwa sana mdau Riwa tudadavulie hili.

Nilisikia hii habari msibani watu wakiongea pembeni, yawezekana kuna kaukweli.
 
Kaka, hata siku moja usiskilize hadithi za msibani. Kuna waongo, wazandiki, wanafiki, much know, wachafuaji, mashankupe na mashakunaku! Wengine mtu kaugua hadi kafa hajawahi kuenda msalimia, akifika msibani anahadithia hadi stori za marehemu akiwa praimare ilhali marehemu kampita 20 yrs!

Habari wadau,

Naomba kufahamishwa kuhusu huu ugonjwa, unatokana na nini dalili zake n.k
Kuna my friend kafariki juzi (R.I.P buddy) alkwenda hsptl akaambiwa ana fangasi ya ubongo coz alikuwa anaumwa kichwa sana, ila walimwambia ameiwahi na angepona lakini haikuwa hivyo.
 
Hapo angepata za mdomoni ama kwenye ulimi. Na sio fungus per ce. Hebu chimba chumvi usilete uvivu hapa!.
Marehemu alikuwa mpenzi wa kuzama uvinza? samahani lakini, uchunguzi wangu nataka uanzie hapo
 
niliwahi pia kushuhudia mwalimu wangu akifariki na taarifa zilikua hizihizi za kuhusanisha HIV na hili tatizo la fungus za ubongo, ila kiukweli mm sijui wala sina utaalam labda madaktari watusaidie kuclear doubt..
 
Huu ugonjwa kwa kiasi kikubwa unawapata wenye HIV...nimeshazika mke wa rafiki yangu alikuwa anaumwa sana kichwa,akagundulika ana fungus kwenye ubongo ....na kwa mujibu wa kaka ya rafiki yangu aliniambia kuwa mdogo wake ameathirika
 
Hapo angepata za mdomoni ama kwenye ulimi. Na sio fungus per ce. Hebu chimba chumvi usilete uvivu hapa!.

hiyo ilikuwa start up umeona nilivyo mdadavulia hapo juu ashindwe mwenyewe, kwa hiyo fungus wa uvinza tofauti na wa kichwani?
 
Nilisikia hii habari msibani watu wakiongea pembeni, yawezekana kuna kaukweli.

kuna kitu inaitwa cryptococcal meningitis. Hii inawapata wagonjwa wa hiv/aids mara nyingi sage za mwisho au wale wanaotumia immunosupressants. Dalili zake ni maumivu makali ya kichwa unrelived with any antipain. Wakati mwingine hutokea kwa mgonjwa aliyeanza arv kama rebound infectin ambapo immune system inaanza kutambua magonjwa ambayo ilikuwa haina uwezo wa kuyatambua.
 
Hawa fungus wanaitwa cryptococcal neoformans, na cryptococcal gattii. Wanapatikana sana kwenye kinyesi cha njiwa. Tunawapata kwa njia ya hewa.
 
Fungus ya ubongo Mara nyingi Ina uhusiano mkubwa na ukimwi Sio Siri, ni vigumu kwa mtu asiye athilika na vvu kupata fungus ya ubongo kwa sababu moja kubwa kinga ya mwili Sio dhaifu Nina mifano hai marehemu mama yangu mkubwa alikufa kwa fungus ya ubongo, binafsi niliugua malaria nikalazwa pale tmj na mfanya biashara mkubwa wa iringa ambaye alikuwa na fungus ya ubongo kabla sijatoka hospital baba yake mzazi na mfanya biashara huyo aliniambia mwanae ameathilika na vvu jamaa alifariki siku 2 mbele baada ya Mimi kuruhusiwa nikiwa karibu na hospital ya amana niliona basi kubwa likitokea hospitalini pale amana wakati nikipepesa macho nikamuona baba wa marehemu dirishani akanikumbuka! Akiwa na huzuni nyingi alinipungia mkono wa bye bye! Hii thread imenikumbusha mbali sana unapata miaka 10 iliyopita!
 
Kaka, hata siku moja usiskilize hadithi za msibani. Kuna waongo, wazandiki, wanafiki, much know, wachafuaji, mashankupe na mashakunaku! Wengine mtu kaugua hadi kafa hajawahi kuenda msalimia, akifika msibani anahadithia hadi stori za marehemu akiwa praimare ilhali marehemu kampita 20 yrs!

ha ha nimechekaje eti washakunaku ha ha ha msibani kuna mambo
 
Back
Top Bottom