Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
mie naweza kabisa kabisa kama penzi la dhati liko
Huyo ni wewe. Utakuwa na uhakika gani na mwenzio Shantel?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mie naweza kabisa kabisa kama penzi la dhati liko
kwa uzoefu wangu wanawake ndo wengi hawawezi
mume anafungwa jela mwaka mmoja tu..
akitoka anakuta 'nyumba ina harufu za watu wengine kabisa' lol
Babu hii inahusu wanandoa na wale wanaoanza mahusiano yao wakiwa karibu ila baadae, kwa sababu ambazo ni muhimu kwao wote au kwa mmoja wao ikabidi mmoja kwenda mbali kidogo mf. kusoma, kuuguza mgonjwa, kazi, ugonjwa na mengineyo.Sorry Lizzy,
Bado naomba tu unifafanulie kidogo na pia unisamehe kama nitakuwa nakusumbua...
Why long distance relationship kama kuna uwezekano wa kuwa na wallet yako mfukoni?? Yaani kwa nini kuwa katia halo hiyo?? Na hapa sijui hata ndoa inahusika???
Kuna jamaa alinambia hivi...."Dogo DC, hakikisha wewe na familia yako mnaishi pamoja kama inawezekana. Huo ndio mpango wa mwenyezi Mungu. Don't allow the means of life to outweigh the meaning of life"
Babu DC!
Babu hii inahusu wanandoa na wale wanaoanza mahusiano yao wakiwa karibu ila baadae, kwa sababu ambazo ni muhimu kwao wote au kwa mmoja wao ikabidi mmoja kwenda mbali kidogo mf. kusoma, kuuguza mgonjwa, kazi, ugonjwa na mengineyo.
Kuna vitu vingi sana ambavyo vinaweza sababisha wapenzi wakatengana kwa muda. . . na hapa ndipo nnapopaongelea. Kwa wale wanaoanza tayari wakiwa mbali mbali nao sioni ubaya vile vile, maana muhimu ni kumpata yule mtu unaemtaka na uliyeridhika nae.Sasa kama huyo uliyeridhika nae yuko mbali kwa muda?Je ujitoe mhanga na kubebana na mwingine kisa tu yuko karibu? Matokeo yake ndio yake mtu anarudi toka alipokuwepo unatama mkeo/mumeo atoweke ili uende kwa huyo unaempenda toka moyoni, au unaanzisha affair.
Hivyo hapa watu waangalie nini ni muhimu kwao. . . kupata mtu anaempenda kwa dhati au kupata mtu wakutimiza mahitaji yake tu.
Mkuu umenena
Sorry,
Hii signature haijaibiwa au Mkuu Invisible katoka kivingine??
Imeibiwa na nenda karipoti kituo cha polisi kilicho karibu yako na peleka ushahidi kama huna ushahidi utulie hivyo hivyo kama una nyolewa. Pilipili usiyoila inakuwashiani?
Hekima ni Busara, PAW
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
![]()
![]()
Kuwa na Busara
Hata kuwa karibu tu kunaweza kukawa na challenges kibao.
@Kongosho unaposema msiulizane una maana kwamba huko uendako au aendako awe huru kujihusisha na watu wengine ehhh?
Dongo la PAW hilo. . . mjadala zaidi kwenye jukwaa la malalamiko.
BTT.
Long distance relationship its difficult to handle and never last Lizzy
Hekima ni Busara, PAW
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
![]()
![]()
Kuwa na Busara
Watu hawaishi kuuliza kama inawezekana kuwa na mtu ambae yuko mbali nae na mahusiano yao yakasurvive.
Jibu ni NDIO, ila kuna mambo ambayo mnatakiwa mzingatie ili mfanikishe mahusiano yenu.
First things first...
1.Kama wewe ni mtu ambae una "commitment issues" this is not for you.Kuweza kuvumilia kutokuwepo kwa mwenzio karibu kunahitaji kujitoa kwa hali ya juu na dhamira iliyonyooka.
2.Kama humpendi mwenzako (unamtamani tu) this is not for you. Ukiwa unatamani kitu ambacho hukipati kwa wakati ni rahisi kuangalia kile kilichopo karibu yako.
3.Kama humwamini mwenzi wako/mwenzi wako hakuamini wewe au wewe mwenyewe hujiamini this is not for you. Bila kuaminiana mtakua na mtafaruku kila siku. Umbali utasababisha maneno/kuwekana hatiani na kuhisiana vibaya kuwepo sana.Kitu ambacho kitasababisha ugomvi mara kwa mara na kusababisha mrudi nyuma kimahusiano badala ya kusonga mbele.
4.Kama huna malengo ya mbali na mwenzako this is not for you. Ikiwa huoni ukiwa na huyo mwenzako miaka miwili mitatu mbeleni mwache aende tu. Hamna haja ya kumfunga mwenzako na mahusiano ya mbali wakati hana umuhimu sana kwako.
5.Kama ni mwepesi wa kuchukua maneno ya watu bila kuyafanyia kazi this is not for you.Utaishia kupata presha bure na kugombana na mwenzio kila siku.
6.Kama ni mvivu wa mawasiliano this is not for you. Kitu pekee kinachoweza kukuweka karibu na mwenzako wakati mko mbali mbali ni mawasiliano.E-mail, Simu, Texting, Skype n.k ndivyo vinavyoweza kupunguza umbali uliopo kati yenu walau kidogo.Hivyo kama hili huliwezi basi jua fika ni muda tu haujafika wa mahusiano yenu kuanguka.
Kwa wale ambao wanafikiria kujiingiza kwenye mahusiano ya mbali jua inawezekana ikiwa tu una nia ya kuyawezesha mahusiano yenu.Kama huna bora uende uendako siku ukarudi na kumkuta mwenzako bado yuko yuko ndio ujaribu.
Kwa wale ambae ndio wanahangaika nayo sasa hivi muhimu ni uwe mwaminifu,uwe na imani na mwenzako,ujitume kwenye swala zima la mawasiliano na msisahau kuongelea "them good times".Hii inasaidia kukumbushana umuhimu wenu kwa kila mmoja na kwamba japo mnakosana kwa muda, mtakapoweza kuwa karibu tena maisha yenu yatapendeza. Mjali mwenzako kwa maneno mazuri, epuka kuanzisha maugomvi yasiyo na pembe wala mkia, usimpe sababu ya kufurahia umbali wako.
Mwisho. . . kama ni kucheat hata unaelala nae kitanda kimoja kila siku, unaekunywa nae chai kila asubuhi na kubebana kazini kila jioni anaweza kucheat, hivyo hili haliletwi na umbali bali tabia binafsi. Hivyo kama wewe ni mvumilivu go ahead and give it a try huku ukiomba na kuamini kwamba mwenzako nae yuko hivyo hivyo pia kama hajakupa sababu ya kufikiria vingenevyo.
Nawatakieni LDS(s) zitakazovuka na kukwepa vikwazo. Kila la heri wote mnaohusika.
PS
Mawazo zaidi na experience zinakaribishwa.
Hapa sasa nimekuelewa Lizzy,
Katika maisha ya ndoa, kutengana kwa muda ni jambo la kawaida sana halizuiliki!! Ila mara nyingi inatakiwa kuwa muda mfupi mfupi tu. Ukizidi sana basi ni mwaka mmoja. Sishauri watu kukaa mbali kwa zaidi ya mwaka....Hata kama ni shule...The meaning of life should always come first!! Hakuna sababu na pia ni vigumu kwa mtu ambaye yuko kwenye mahusiano kuanza kukumbatia mito kwa zaidi ya mwaka....!! Halafu ukutane na winter kama ya 2010!!...No way, hicho kikombe sikitaki kabisa!!
Kuna mifano mingi ya watu ambao walijaribu haya mambo eti kwa sababu ya shule na kazi...Matokeo yake ni mabaya sana!! Wengine ndoa ziliisha baada ya masomo au zimebaki zikichechemea kwa mguu mmoja kama uyoga!
Thanks.Lizzy thanks for the thread,as always it is such a great thread with unbelievable educative ideas.I have just came along in this javi though i have been visiting for sometimes.Very sorry for this,i have some questions which might be personal but it is n't,what is your profession?are you relationship expert,life couch or just someone with so much life experience.I got so much to ask please PM me if you do not mind
Hahahahah. . .Sio uwe huru but bya any means mkikutana hamna kuuliza what happened when the Monitor wasnt there
uwe ulisikia kwa mbali, unaichunia kiutu uzima.
Hata hivyo haya ya watoto zaidi ndo inapendeza. Ndo maana sasa hivi ukikiuliza kidada, are u dating?
Unapewa jibu, my fiance is in UK, Yugoslavia, Chechnia. uSA
yanawafaa hao
Sitajali wala kumuwazia as long as yuko in touch na mie kwa sana na ananihakikishia im the one and all those love staff wala sijaliHuyo ni wewe. Utakuwa na uhakika gani na mwenzio Shantel?
Bora wewe mwaya.Sitajali wala kumuwazia as long as yuko in touch na mie kwa sana na ananihakikishia im the one and all those love staff wala sijali
kuaminiana ni kitu kizuri sana japo ni kitu kigumu kwa mahusiano ya mbali