Fanya haya endapo basi ulilomo ghafla linaanza kupinduka…

Kwan kufa ni tatzo ? Unataka kumwona Mungu then unaogopa kufa?
 
Jannah ndio mbingu ya kiarabu mkuu au???
 

Hii njia yako ya kukwepa hatari ya ajali itafanikiwa ikiwa tu wakati unaanza safari utaanza kukaa chini ya siti hapo unaposemea. lakini ajali ni tukio la ghfla unajikuta upo hospital unahojiwa tukio au upo kwenye baridi kaliii. Na kwenye list ya serikali.
 
Shida ya ajali ni kwamba ukisema unajikinga hivi ,yenyewe inakuja kivingine . Kama ku beti tu yaani. Hivi niulize kwa ajali za Head to Head collision let's say gari ndogo na Lori ,mkanda una msaada gani kwenye hii scenario?[emoji848]
 
Usithubutu hiyo njia unaweza kubanwa kichwa au shingo na uka aga dunia chapu.

Cha kufanya ondoa hofu moyoni jione ni kitu Cha kawaida,

Pili muombe Mungu.

Au safari ukiwa na element ya pikipiki kichwani

Epuka kulala wakati wa kusafiri na basi,

Acha kuchezea simu na mwisho uwe uko macho mda wowote wa safari
 
Wa
Wazo zuri ila kwa mabus yet viti vyake viko karibu karibu sana kukaa mtakaa kwa shida ni mabus machache mfano Shabiby luxury viti vina nafasi , kifupi ajali sio ya kuiombea itokee hata moja ,

Nimewahi kupata ajali ya bus nyanda za juu , walikufa watu zaidi ya watu 8 akiwemo driver na majeruhi waliokatika miguu wengine majeraha ya vichwa . Ushauri ajali uepukwe kwa namna yoyote ile mwisho funga mkanda na msai sana.

Niliwahi kwenda Pemba na meli wakati wa kurudi Dar kupitia unguja nilipanda meli ya Sea Star mle nikakuta kuna watu maalum wanasali njia nzima usiku na mchana nilivutiwa sana na ule utaratibu wa swala na mimi nikajikuta nimepanda juu ya meli nikaanza kusali kuomba Mungu tufike salama maana usafiri wa baharini una kadhia zake hasa kujiepusha na anasa kama ulevi na uzunzi mkiwa safarini maana vutu hivyo huletaga uzembe na mikosi.
 
Mi nikadhani unatushauri tuinamishe vichwa tusali kumbe unashauri tuviingize chini ya siti za bus?are you High?Siti za basi hizi hizi za kibongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…