Fanya haya ili biashara unayoianzisha isife

1. Fanya biashara unayoielewa vizuri.. jibu huwezi kuielewa biashara vizuri mpaka uifanye. Usijidanganye na viji research.. japo ni muhimu kufanya kabla.
2. Kusoma mahitaji pia lazima ufanye japo kuna pre prediction ila sio lazima upatie i.e. unaweza hisi watu watanunua bidhaa na ukiweka wakakukataa.
3. Jenga mahusiano mazuri na wateja wako sio wateja watarajiwa. How sure kama ni wateja wako kabla hujafungua hiyo biashara?
My take:
Ukiamua kuanza kufanya biashara basi fanya usiwe na expectation kubwa ko anza kidogo kucheck rotation ikiwa poa endelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…