Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Zaidi ya muziki Fid Q ni NGOSHAFid Q ni "Msanii" Wa "Kufoka foka".. mzee kwenye fasihi uko vzr..hakika hufikiri kwa kutumia kina cha chini cha utumbo mpana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zaidi ya muziki Fid Q ni NGOSHAFid Q ni "Msanii" Wa "Kufoka foka".. mzee kwenye fasihi uko vzr..hakika hufikiri kwa kutumia kina cha chini cha utumbo mpana!
Shkamoo Alwatan El maamry Gulamali Ankal Buji ..Zaidi ya muziki Fid Q ni NGOSHA
Sana tu!Nae ana sura ya kishari kama zee kidevu?
amezaa na nani jamani....chukua mke wa mtu zaa nae kibabe
huu uzi ulikuwa umefutwa, naona wameurudishaHabari wana JF,
Ukifanya haya tena ukiweza labda yote basi utafanikiwa kuwa katili zaidi hadi ibilisi atakushangaa..
1. Usihudhurie misiba kuwapa watu pole.
2. Watu wakipatwa na majanga usiende kuwafariji.
3. Ikitokea umeenda, usiende kwa wkt na ukifika wafokee sana, wakate maini kabisa.
4. Usiwape chakula wenye njaa tena waambie "wafe tu"
5. Samehe jinai
6. Shitaki wanaolalamika eti maisha magumu
7. Okota vitu vya watu kama hela, magari n.k. halafu jigawie...waache walie
Mengine ongezea mwana JF..
ONYO: Ukatili ni kitu kibaya sana.
Mkuu nimependa hii[emoji1]10.zaa hovyo kama panya kila mtaa mwanamke
mama flani iv wazir ni keupe amejifungua juzi tuamezaa na nani jamani....
hospitali ya Late Prof Kairukimama flani iv wazir ni keupe amejifungua juzi tu
Hii ingekuwa ya kwanzaUmesahau kitu kimoja...
8. Bembeleza kuombewa huku ukigoma kutubu
Anjelina Hairuki???????????kuna yule mama kajifungua juzi tu wazir flan iv chunguza tu utapata jibu
Huu ndo uanaume naona wewe ni dume jike. Mi nina mwanamke kila mkoa ninaindaga kwa ajili ya shughuli zangu zinazoniingizia kipata na nina watoto huko. Na mikoa hiyo ipo zaidi ya mitano10.zaa hovyo kama panya kila mtaa mwanamke
Dumejike kama Baba yako tu maana mama yako nae ni "Semenya Castor" Wa kijijini kwenu aka Hermaphrodite ! unafanya hayo ukiwa katika mission yako ya kusambaza ukimwi..nani asiyekujua govi wewe??Huu ndo uanaume naona wewe ni dume jike. Mi nina mwanamke kila mkoa ninaindaga kwa ajili ya shughuli zangu zinazoniingizia kipata na nina watoto huko. Na mikoa hiyo ipo zaidi ya mitano
Pia lazima niwe na demu wa kulala naye kila ninapofikia hata kama ni kwa usiku mmoja tu.