Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Basi sawa. Afu siku nyingine usiniite "mkuu" mimi ni "babu". Tafadhali eh *****...Polee nitajitahd usibaki upweke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi sawa. Afu siku nyingine usiniite "mkuu" mimi ni "babu". Tafadhali eh *****...Polee nitajitahd usibaki upweke
Hahahaaaa sawa BabuBasi sawa. Afu siku nyingine usiniite "mkuu" mimi ni "babu". Tafadhali eh *****...
Ukawa mnatapatapa kama mahindi ya bisiHabari wana JF,
Ukifanya haya tena ukiweza labda yote basi utafanikiwa kuwa katili zaidi hadi ibilisi atakushangaa..
1. Usihudhurie misiba kuwapa watu pole.
2. Watu wakipatwa na majanga usiende kuwafariji.
3. Ikitokea umeenda, usiende kwa wkt na ukifika wafokee sana, wakate maini kabisa.
4. Usiwape chakula wenye njaa tena waambie "wafe tu"
5. Samehe jinai
6. Shitaki wanaolalamika eti maisha magumu
7. Okota vitu vya watu kama hela, magari n.k. halafu jigawie...waache walie
Mengine ongezea mwana JF..
ONYO: Ukatili ni kitu kibaya sana.
Heri ya Mwaka Mpya.Mi napenda kusoma posts zako. Usipoandika kitu nabakia mpweke
[emoji106] [emoji109]ana kovu fulani hivi...kwenye shavu LA kulia...mzuri kuliko wote?
Afu wewe... unajua ukiendelea hivi sitacheza tena na wewe?Heri ya Mwaka Mpya.
Zawadi yako itaoza.
duu! ukawa wanausika vip tena hapa umesoma maelezo vizur lakinUkawa mnatapatapa kama mahindi ya bisi
Mfyuuu zenu!
Kama nimeelewa vzuri Hapo Fd Q anaenda kama ngosha ambaye ni m batizaji a.k.a yohana wa pale kati naniliu pale mtaa nyeti paleFid Q ni "Msanii" Wa "Kufoka foka".. mzee kwenye fasihi uko vzr..hakika hufikiri kwa kutumia kina cha chini cha utumbo mpana!
he heh mi simo!Kama nimeelewa vzuri Hapo Fd Q anaenda kama ngosha ambaye ni m batizaji a.k.a yohana wa pale kati naniliu pale mtaa nyeti pale