Fanya haya ili uwe mtu katili zaidi.

~Koromea na kutukana wasaidizi wako hadharani

~jamba hadharani,ila wengine wakijamba ni kosa LA jinai

~anayekukosoa/kukupinga,adhabu yake ni risasi ama kupotea

~wewe ndiye katiba na daima upo juu ya sheria

~nunua wapinzani wako kwa gharama yeyote ile

~watoto ni wako tu,ila watoto wa wengine ni viraza
 
huu uzi ulikuwa umefutwa, naona wameurudisha
 
kuna yule mama kajifungua juzi tu wazir flan iv chunguza tu utapata jibu
 
Umesahau kitu kimoja...

8. Bembeleza kuombewa huku ukigoma kutubu
Hii ingekuwa ya kwanza


Jiamualie mambo ya kitaifa kama vile in maji unavyotaka kuyanywa nyumbani kwako

Iwe kikombe
Grass
Au jag
 
Toa tamko wafungwa wote walioua,wabakaji,waliokata albino viuongo,waliotapeli wajane waachiwe huru na kupewa ofisi za kufanyia kazi zao.
 
10.zaa hovyo kama panya kila mtaa mwanamke
Huu ndo uanaume naona wewe ni dume jike. Mi nina mwanamke kila mkoa ninaindaga kwa ajili ya shughuli zangu zinazoniingizia kipata na nina watoto huko. Na mikoa hiyo ipo zaidi ya mitano

Pia lazima niwe na demu wa kulala naye kila ninapofikia hata kama ni kwa usiku mmoja tu.
 
Dumejike kama Baba yako tu maana mama yako nae ni "Semenya Castor" Wa kijijini kwenu aka Hermaphrodite ! unafanya hayo ukiwa katika mission yako ya kusambaza ukimwi..nani asiyekujua govi wewe??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…