kuna yule mama kajifungua juzi tu wazir flan iv chunguza tu utapata jibu
Na kati11.Weka msemaji wako bwege kuliko wote afrika mashariki.
Khaah hatarichukua mke wa mtu zaa nae kibabe
Aisee hatariWatishe sana hata mtu akipiga Chafya MPIME MKOJO HAPO UTATISHA ZAIDI
Hahaaa kubwata ni hatari..12.Usiwe unaongea..wewe bwataa tu yani bwataaaaaa..
Aisee bashite haya yooteeeeeee yake.. Kumbe anafanya sana Fid Q kufoka foka
Mkuu utakuwa zaid ya kuogopekaZalisha mke Wamtu Kisha vimbaaa
Bwege kuliko wote Africa nzima. Sijui Dr gani yule...11.Weka msemaji wako bwege kuliko wote afrika mashariki.
Imefika namba ngapi? Nataka kuongeza ya mwishoBabu umepatia mia kwa mia
Hahaaaaaa nafurahi kusoma michango ya watu tu Mkuu.Beef Lasagna mbona unagonga likes tu lakini huchangii kitu. Unaogopa watu wasiojulikana?
Mi napenda kusoma posts zako. Usipoandika kitu nabakia mpwekeHahaaaaaa nafurahi kusoma michango ya watu tu Mkuu.
Polee nitajitahd usibaki upwekeMi napenda kusoma posts zako. Usipoandika kitu nabakia mpweke