Fanya haya ili uwe mtu katili zaidi.

Ukawa mnatapatapa kama mahindi ya bisi
Mfyuuu zenu!
 
13. Muweke mteule wako ujauzito kisha akijifungua usiruhusu mtu yeyote hata ndugu wa huyo kimada wako kwenda kumuona ispokua ww mwenyewe tu, na ukienda unaenda usiku na unavaa juba.
 
Viongozi wa jf hawajauona huu Uzi uliojaa uchochezi?.ufutwe maramoja.hatupendi kuona wanajf wenzetu mkipata shida.
 
Fid Q ni "Msanii" Wa "Kufoka foka".. mzee kwenye fasihi uko vzr..hakika hufikiri kwa kutumia kina cha chini cha utumbo mpana!
Kama nimeelewa vzuri Hapo Fd Q anaenda kama ngosha ambaye ni m batizaji a.k.a yohana wa pale kati naniliu pale mtaa nyeti pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…