Wewe unataka kunenepesha?keshoo tunakuja na somo la kunebepesha makalio na mahips bila kutymia dawa za wahuniii saa tanoa mpaka nane b online
Hivi huwa yanaweza kupigwa denda yale!!!?Meno yale ya fluoride haiwezekani ng'o labda ufanye veneering
Sasa mbona maelezo hayajaeleweka baada ya kupata huo mchanganyo matumizi yqke yakoje?unakunywa au?Chukuaa nyanya 3 zilizoiiva kabisa. Menya maganda. Ponda ponda zote.
Chukua limao changanya kamulia mawili humo ndani. Chukua dawa ya mswaki vijiko vitatu mimina huko ndani mix kwa pamoja.
Tumia asubuhi na jion siku 5 angalia matokeo.
Niko pale kwa Masawe.
Nasubiri mrejesho.