Fanya haya kama unataka meno yako yawe meupe

Fanya haya kama unataka meno yako yawe meupe

Chukua dawa hiyo ukasafishe kwanza meno ndio uje
Toka hapa
images (8).jpeg
 
Dah! Umeniacha hoi ulivyomtaja kipenzi chako aaliyah😂
Mi mpiga makelele tu😁walaji halisi wanapita kimya kimya no likes no comments no quotes ni mwendo wa Pm kibunda kinawekwa logistics zinafanyika wanaenda kubomoana Serengeti hukooo mbugani
 
Yakiwa meupe ndio unapata teuzi?
Chukuaa nyanya 3 zilizoiiva kabisa. Menya maganda. Ponda ponda zote.

Chukua limao changanya kamulia mawili humo ndani. Chukua dawa ya mswaki vijiko vitatu mimina huko ndani mix kwa pamoja.

Tumia asubuhi na jion siku 5 angalia matokeo.

Niko pale kwa Masawe.
Nasubiri mrejesho.
Mbona huo mchanganyiko ni suluhu ya kuondoa magaga miguuni unataka kutuua au?
 
keshoo tunakuja na somo la kunebepesha makalio na mahips bila kutymia dawa za wahuniii saa tanoa mpaka nane b online
 
Back
Top Bottom