ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Chukua dawa hiyo ukasafishe kwanza meno ndio ujeAma sindio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukua dawa hiyo ukasafishe kwanza meno ndio ujeAma sindio
Watoto wa 2000 wapo vzr sana wengi wameumbwa wakaumbikaBonge kwa nyuma!😂
Kuna watu Mungu aliwapatia kuwaumba
Toka hapaChukua dawa hiyo ukasafishe kwanza meno ndio uje
Sio wote😂Watoto wa 2000 wapo vzr sana wengi wameumbwa wakaumbika
Si ndiyo🤣🤣🤣Tumezipuuza manake tunajua kabisa meno yenu yanang'aa, mki-smile sisi huku hoi🤪
Ephen wa jf; bonge flan hv tumbo tani tatu t*k* noSio wote😂
Dah! Umeniacha hoi ulivyomtaja kipenzi chako aaliyah😂Ephen wa jf; bonge flan hv tumbo tani tatu t*k* no
Ephen offline; tumbo Yammy hips mobeto tabasamu lulu lips aaliyah
Mi mpiga makelele tu😁walaji halisi wanapita kimya kimya no likes no comments no quotes ni mwendo wa Pm kibunda kinawekwa logistics zinafanyika wanaenda kubomoana Serengeti hukooo mbuganiDah! Umeniacha hoi ulivyomtaja kipenzi chako aaliyah😂
Ila mtoto anakuelewa! Kusoma hujui hata picha huoni?Mi mpiga makelele tu😁walaji halisi wanapita kimya kimya no likes no comments no quotes ni mwendo wa Pm kibunda kinawekwa logistics zinafanyika wanaenda kubomoana Serengeti hukooo mbugani
Nacheka lkn naogopaIla mtoto anakuelewa! Kusoma hujui hata picha huoni?
Ebu fanya mambo usikae kizembe😂Nacheka lkn naogopa
Saiv Aaliyyah anasoma Kimya Kimya anachekaEbu fanya mambo usikae kizembe😂
Mbona huo mchanganyiko ni suluhu ya kuondoa magaga miguuni unataka kutuua au?Chukuaa nyanya 3 zilizoiiva kabisa. Menya maganda. Ponda ponda zote.
Chukua limao changanya kamulia mawili humo ndani. Chukua dawa ya mswaki vijiko vitatu mimina huko ndani mix kwa pamoja.
Tumia asubuhi na jion siku 5 angalia matokeo.
Niko pale kwa Masawe.
Nasubiri mrejesho.
mzee EPHEN hajambo?Wenye meno ya Chocolate mnaitwa
Kwani wee janaa,kuna mnyama wa madoa doa mwenye njaa ama.unahisi simu yakoo inarekodiwa na mth na huna amani mfyokoe na hii code
##002#
piga huyo sio wako tena