Fanya haya kuifanya sound system yako idumu kwa muda mrefu

Fanya haya kuifanya sound system yako idumu kwa muda mrefu

Mkuu kati ya miziki hii miwili hapa chini,chaguo lako ni lipi na kwanini? Naomba nisaidie kufanya maamuzi sahihi,Hiyo home theater ni SONY watt 400 bei 550k na hiyo nyingine ni LG X boom 400w bei 650k View attachment 2460704View attachment 2460706

Ningechukua lg
Bass nzuri (kwa kutazamaukubwa wa speker na box)
Good looking
True sound 2.1channel

Twende na lg
 
Habari naomba uelezee kidogo kuhusu sound bar kama unauzoefu nazo.

Sina uzoefu nazo kwa kina
Ila
ni bar (shape)sound system unayoongeza nguvu sauti ya television
Awali sb zilikua mahususi kwajili ya kuongeza power ya flat tv
Yaan ukitumia flat tv unaweka na sb ili kuongeza power output ya sauti ili isikike kwa ukubwa
Baadae zikaja kuongezewa features nyingi zaidi kutokana na ukuaji wa teknologia hivyo wakaziongezea ubora na kuzifanya kua za kisasa zaidi
Ndio maana sasahiv unaona zikiwa na Bluetooth
Headphones jack na hdmi arc
Leo hi zipo hata za wirelessly
Na zingine zinafanya kwa mtindo wa 5.1 channel pia

Ila kabla zilikua na aux pekee kwajiri ya tv signal input
 
Kwa wanao tumia pc ku play music
Equlizer apo inafanya sounds kua safi sana
 
Back
Top Bottom