Fanya haya kuifanya sound system yako idumu kwa muda mrefu

Nje ya mada kidogo mkuu Kuna subufa nimeifungia mp3 lakin inakoroma/inavuma Sana solution nini hapa
Chukua waya nene mfano wa 4mm
Unga kwenye ground ya power supply na pale kwenye ki bati cha frash(ground!)
 
Chukua waya nene mfano wa 4mm
Unga kwenye ground ya power supply na pale kwenye ki bati cha frash(ground!)
Mkuu nashukuru nimefanya hivyo nimefanikiwa kwa kiasi japo bado sound sio quality Kama mwanzo

Kama Kuna mbinu zaidi naomba tafadhali

Pia nifunge kifaa gani ili kupunguza kidogo bass
 
Mkuu nashukuru nimefanya hivyo nimefanikiwa kwa kiasi japo bado sound sio quality Kama mwanzo

Kama Kuna mbinu zaidi naomba tafadhali

Pia nifunge kifaa gani ili kupunguza kidogo bass
Ntumi namba zako dm mkuu
 
Mkuu nashukuru nimefanya hivyo nimefanikiwa kwa kiasi japo bado sound sio quality Kama mwanzo

Kama Kuna mbinu zaidi naomba tafadhali

Pia nifunge kifaa gani ili kupunguza kidogo bass
Sio quality kama mwanzo kwa maana gani?
Yaan baada au kabla ya kuweka hiyo mp3
 
Naishi fresh JBL flip 5 yangu

Mungu akijalia niivute Charge 5

Nikitoka nichukue JBL soundbar Dolby Atmos sound
 
Unapoongeza spika ni lazima pia uongeze amplifier kwa sababu ya hizo spika za ziada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…