Fanya hivi ikiwa umesoma ila hauna ajira inayokuweka mjini.

Fanya hivi ikiwa umesoma ila hauna ajira inayokuweka mjini.

Mama Ametufikia

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2024
Posts
535
Reaction score
1,395
Umesoma vizuri, mambo hayaendi maana yake akili imekungusha, sasa jaribu nguvu,

potelea porini, fyeka miti, lima kwa mkono wako, fuga, jenga hata kijumba cha nyasi, anzisha maisha huko bila kujihurumia,

potelea huko kwa miaka mitatu, minne, utaanza kuvuna mazao, ya mikono yako, pata pesa, then irudie ile akili yako sasa ili ikusaidie kucontrol pesa yako ikufanyie kazi. Aliitumia kanuni hii Maha Ghandi, yeye alitoka India na kwenda maporini Afrika Kusini kulima....
 
❗❗❗Breaking new! 🆕

Lukasi mwashambwa na Tlaaah Tlaaah wamekubaliana kuwa kesho ni Jumanne Kwa lugha ya kisasa au kisayansi ni Tuesday.

Samahani mleta Uzi huku maji yamelowana.
 
Yoyote atakaechukua huu ushauri awe makini asije akafia huko maporini kwa kuumwa na nyoka... mazao yote tutapika kwenye msiba wake within a day.
Hint; ukifanikiwa mshukuru MUNGU na si kusifia nguvu au akili zako .
 
wakalime waajiriwa wenye mitaji waachie ofisi wenye njaa
 
Back
Top Bottom