Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Ndiyo kaka kuna psychological advantage hapoIs it necessary?
Haya meneja wa makampuniMbwaa in advance
PerhapsNdiyo kaka kuna psychological advantage hapo
Naitwa raisi wa ma jobless pro maxHaya meneja wa makampuni
In pre paidMbwaa in advance
Shangaaa hajui kwamba watu huvutiwa zaidi na vitu vya hovyo mfano kumleta Sharhu Khan bongoUzi mzuri ni ule mtu ukipitia unaondoka na kitu fulani cha kujifunza hata kama hauna wachangiaji, Mimi Nikianzisha uzi huwa siwazi kabisa kuhusu wachangiaji, nalenga mambo mengine kabisa
Na nyie siyo wachangiajiNawewe hujapata wachangiaji wengi amaa kweli maisha hayana formula
Mambi yenu ya Instagram1.Usiwe mchoyo kulike nyuzi za wenzio
2.Anzisha mada yenye mashiko mfano. Ndoa,Visa na mikasa
3.Gusa maisha ya watu mfano mila na desturi zao, dini, elimu, afya, michezo n.k
4.Udaku(uwe mbele ya muda)
5.Jitahidi uzungumzie mapenzi na utafute heading nzuri mfano ile ya "Ulishawahi kuchakata mbususu kimasihara?"
N.B Usipopata wachangiaji niite mbwa nimekaa paleeeee
Safi , ngoja niku follow kabisa๐Ukishapata wachangiaji wengi unanufaika na nini hasa! Ni bora uweke uzi wa kuwachana watu ukweli, wachukie, wavimbe Wakafie mbele. Namkubali sana Natafuta Ajira . Mwanangu wa faida.
Huu uzi tuu mwnyw hauna wachangiaji, mtoa mada mwnyw ameshindwa kutumia mbinu zake kujipatia wachangiaji wengi ๐
N Sawa na video ya kuelezea namna ya kupata views wengi, ila ynyew ina views 10 ๐