Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Chcht n nn, labla mamilioni kwao sio chvht
Chcht n nn, labla mamilioni kwao sio chvht
Mwandishi wa kitabu cha jinsi ya kupata pesa katika maisha kukosa hela ya kuprintia ili kitokee.Huu uzi tuu mwnyw hauna wachangiaji, mtoa mada mwnyw ameshindwa kutumia mbinu zake kujipatia wachangiaji wengi 😂
N Sawa na video ya kuelezea namna ya kupata views wengi, ila ynyew ina views 10 😂
Akisome tuu apateaarifa ya kupata pesa 🔥Mwandishi wa kitabu cha jinsi ya kupata pesa katika maisha kukosa hela ya kuprintia ili kitokee.
Nimekutana nae anaomba msaada tumchangie akatolee kitabu chake🤣🤣
Kabisa yaani 🔥. Huwezi kusema nilianza biashara nikiwa sina chochote, bora uwe specific kwa kusema, "nilianza biashara nikiwa sina hela yoyote".Eh mboo tena, kazi ipo 😂
Unajiajiri unakuwa unawapelekea moto mishangazi 😎
Ni changamoto kwelikweli, kama haya haya ya mleta mada tuAkisome tuu apateaarifa ya kupata pesa 🔥
😂Mwandishi wa kitabu cha jinsi ya kupata pesa katika maisha kukosa hela ya kuprintia ili kitokee.
Nimekutana nae anaomba msaada tumchangie akatolee kitabu chake🤣🤣
Mambo mengi muda mchache!
Haaaaaaaaah ila nyie mmeamua kukagua miradiMambo mengi muda mchache!