Luhamba II
Senior Member
- Mar 22, 2025
- 137
- 219
Habari mjasiriamali,
Last week nimepata watu watatu walioniuliza swali Moja, "nawezaje kubadili TIN yangu iwe TIN ya biashara?"
For collective good nimeona nikuandikie hapa na wewe.
Kuna hatua kadhaa za kufuata wakati wa kubadili non business TIN kuwa Business TIN.
Hatua hizo ni hizi;
1/10 ingia kwenye website ya TRA www.tra.go.tz
2/10 Chagua e-services Kisha nenda Tax payer portal
3/10 bonyeza log in weka TIN yako na password
4/10 Bonyeza POT
5/10 Chagua registration
6/10 bonyeza TIN management
7/10 weka tiki kwenye business
8/10 bonyeza alama ya pen 🖊️ kubadili TIN yako
9/10 utapewa fomu ya kuzaja hapo hapo online jaza taarifa utakazo ambiwa Kisha submit
10/10 subiri approval.
Unaweza kufanya zoezi hili ndani ya dakika 10 tuu ukawa umemaliza.
I hope this helps.
But, kama unachangamoto yoyote kuhusu kubadili TIN yako kuwa TIN ya biashara unaweza kunitumia ujumbe Whatsapp kupitia namba hizi
0678131068
Nitakusaidia BURE kabisa.
Hey, naitwa Luhamba
Your Favorite lawyer.