Fanya hivi usipofanikiwa niite mbwa nimekaa pale

Fanya hivi usipofanikiwa niite mbwa nimekaa pale

""""Mfano Kama unapata Sh. Laki 5 kwa mwezi (500,000/=) fungu la 10 ni Sh. 50,000/=, hii ni mali ya Mungu si yako. Unatakiwa utoe kanisani kila mwezi, pia hata kama umepewa fedha kama zawadi unapaswa uitolee fungu la 10.

Faida za Fungu la kumi
•Hulinda kazi au biashara unayoifanya dhidi ya adui.
•Magonjwa, ajali(vitu vitakavyokufanya utumie fedha bila mpangilio) n.k yanakuwa mbali nawe.""
"

Hii akiona Kiranga
Hewa itabadilika hapa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kutoa ni moyo na huwa natoa popote pale ambapo naona kuna uhitaji na mimi nahitajika kutoa, hivyo fedha ya sadaka inatoka popote kati ya hizo sehem tatu kutegemea na wakati
Ila inategemea unamtanguliza nani mbele? Kutoa ni moyo na sadaka inaonyesha wapi ? Moyo wako upo?
 
Ila inategemea unamtanguliza nani mbele? Kutoa ni moyo na sadaka inaonyesha wapi ?
Naheshimu sana sadaka na kumbuka pia hata kumpa mzazi wako hilo fungu la kumi ni baraka maradufu, tusijikimbilie kutoa hela mara kanisani mara kwa wazazi mara kwa misaada, chagua kimoja at a time, kama una kipato cha 1M kutoa zaidi ya 50k kama sadaka ni kujiumiza huku tukiendelea lalamika hela hazitoshi wakati Mungu katupa akili.
Unaweza kutoa zaidi ya hiyo pale tu itakapohitajika kwenye uhitaji ndio tunarudi kwenye point yangu ya kwanza
 
""""Mfano Kama unapata Sh. Laki 5 kwa mwezi (500,000/=) fungu la 10 ni Sh. 50,000/=, hii ni mali ya Mungu si yako. Unatakiwa utoe kanisani kila mwezi, pia hata kama umepewa fedha kama zawadi unapaswa uitolee fungu la 10.

Faida za Fungu la kumi
•Hulinda kazi au biashara unayoifanya dhidi ya adui.
•Magonjwa, ajali(vitu vitakavyokufanya utumie fedha bila mpangilio) n.k yanakuwa mbali nawe.""
"

Hii akiona Kiranga
Hewa itabadilika hapa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mungu anahitaji hela tena? Kwani kashindwa kufanya muujiza bila kusumbua viumbe wake watoe fungu la 10% na sadaka?
 
Back
Top Bottom